Edomu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Eneo husika lililokuwa mwaka [[830 KK. Edomu inaonyeshwa kwa rangi ya njano.]] File:Edom.PNG|right|thu...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 07:31, 14 Septemba 2014
Edomu (kwa Kiebrania אֱדוֹם, Edom, ʼĔḏôm, yaani "nyekundu"[1]) au Idumea (kwa Kigiriki Ἰδουμαία, Idoumaía; kwa Kilatini Idūmaea) walikuwa taifa la Kisemiti lililoshi kusini kwa Bahari ya Chumvi katika eneo ambao leo limegawanyika kati ya Israeli na Yordan.
Biblia inawataja mara nyingi kama washindani wa taifa la Waisraeli[2]ambao walikuwa na undugu kutokana na mababu wao kuwa watoto pacha wa Isaka, mwana wa Abrahamu.
Mataifa hayo mawili yaliendelea kushindana mpaka Edomu ilipomezwa na Israeli wakati wa Wamakabayo (karne ya 2 KK).
Baada ya hapo, Mwedomu Herode Mkuu alipata kuwa mfalme wa Israeli (37 KK - 4 KK) na kuacha ukoo ulioendelea kutawala kwa kwikwi chini ya himaya ya Dola la Roma kwa mwaka 100 hivi.
Tanbihi
- ↑ Mwa 25:30
- ↑ Piotr Bienkowski, "New Evidence on Edom in the Neo-Babylonian and Persian Periods", in John Andrew Dearman, Matt Patrick Graham, (eds), "The land that I will show you: essays on the history and archaeology of the Ancient Near East in honour of J. Maxwell Miller" (Sheffield Academic Press, 2001), pp.2198ff
Marejeo
- Gottheil, Richard and M. Seligsohn. "Edom, Idumea." Jewish Encyclopedia. Funk and Wagnalls, 1901–1906; which cites:
- Kigezo:JewishEncyclopedia
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: