Leo Tolstoy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: ce:Толстой, Лев Николаевич is a featured article; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ilya Efimovich Repin (1844-1930) - Portrait of Leo Tolstoy (1887).jpg|thumb|right|Leo Tolstoy alivyochorwa na Ilya Efimovich Repin ([[1844]]-[[1930]]) mwaka [[1887]].]]
 
'''Lev Nikolayevich Tolstoy''' (kwa [[Kirusi]] '''Лев Николаевич Толстой'''; [[9 Septemba]] [[1828]] - [[20 Novemba]] [[1910]]) alikuwa [[mwandishi]] kutoka nchi ya [[Urusi]].

Huhesabiwa kati ya wanariwayawana[[riwaya]] bora wa [[fasihi]] duniani[[dunia]]ni. Kati ya masimulizi yake makuu kuna ''[[Vita na Amani]]'' pamoja na ''[[Anna Karenina]]''.
 
== Familia na urithi ==
Tolstoy alizaliwa katika [[familia]] ya [[makabaila]] kwenye [[kijiji]] cha [[Yasnaya Polyana]] karibu na mji wa [[Tula]]. Familia yake ilikuwa na uhusiano wa kindugu[[undugu]] na makabaila wengi na [[Aleksander Pushkin]] alikuwa [[binamu]] yake.
 
Mapema Tolstoy alibaki [[yatima]] kutokana na [[kifo]] cha [[wazazi]] wake, akalelewa na [[dada]] yake mkubwa.
 
Alianza kusoma [[lugha]] za [[Asia|Kiasia]] halafu [[sheria]], lakini alipofikia umri wa miaka 20 aliacha masomo akaenda kuishi kwenye mashambama[[shamba]] ya familia yake. Hapo alijikuta kama [[bwana]] wa familia za [[wakulima]] [[maskini]] aliokuwa aliwarithiamewarithi kama sehemu ya [[mali]] yake, wakiwa kama nusu [[watumwa]] jinsi ilivyokuwa kawaida kwa wakulima wengi wa Urusi wa siku zile, kumbe akajitahidi kuboresha [[maisha]] yao.
 
== Mwanajeshi, mpenda amani, mla mboga ==
Kama [[mwanajeshi]] alishiriki katika [[vita]] vya Urusi kwenye [[Kaukazi]] na [[vita yavya Krimea]]. Alirudi kwake kama adui wa vita akaendelea kulaumu vita na mabavu kati ya watu akijenga [[imani]] yake kwenye mfano wa [[Yesu Kristo]].
 
Alirudi kwake kama [[adui]] wa vita akaendelea kulaumu vita na mabavu kati ya watu akijenga [[imani]] yake kwenye mfano wa [[Yesu Kristo]].
Imani hiyo ilileta baadaye ugomvi na [[Kanisa]] rasmi la Urusi ([[Waorthodoksi]]) lililotumia imani ya Kikristo kwa kubariki [[jeshi]] la taifa wakati Tolstoy alikataa kushiriki vita tena.
 
Imani hiyo ilileta baadaye [[ugomvi]] na [[Kanisa]] rasmi la Urusi ([[Waorthodoksi]]) lililotumia imani ya Kikristo[[Ukristo]] kwa kubariki [[jeshi]] la taifa, wakati Tolstoy alikataa kushiriki vita tena.
Aliendelea kukataa kila aina ya kuua, kwa hiyo alikataa kuchinja [[wanyama]] na kula nyama. Aliandika:
 
::Kula nyama ni mabaki ya unyama ndani ya binadamu. Ulaji mboga ni hatua ya kwanza kwenye njia ya mwangaza.
Aliendelea kukataa kila aina ya kuua, kwa hiyo alikataa kuchinja [[wanyama]] na kula [[nyama]]. Aliandika:
::Ni hatua moja tu kutoka uuaji wa wanyama kwenda uuaji wa [[binadamu]], vilevile kutoka kutesa wanyama kwenda kutesa watu.
::Kula nyama ni mabaki ya [[unyama]] ndani ya [[binadamu]]. [[Ulaji mboga]] ni hatua ya kwanza kwenye njia ya [[mwangaza]].
::Kama huwezi kuua watu - vizuri! Kama huwezi kuua mifugo au ndege - bora; wala samaki wala wadudu - bora tena! Ujitahidi kusogea mbele usipoteze muda kutafakari ni nini inayowezekana au haiwezekani. Fanya unachoweza.
::Ni hatua moja tu kutoka uuaji wa wanyama kwenda [[uuaji wa [[binadamu]], vilevile kutoka kutesa wanyama kwenda kutesa watu.
::Kama huwezi kuua watu - vizuri! Kama huwezi kuua [[mifugo]] au [[ndege]] - bora; wala [[samaki]] wala [[wadudu]] - bora tena! Ujitahidi kusogea mbele, usipoteze muda kutafakari ni nini inayowezekana au haiwezekani. Fanya unachoweza.
 
== Ndoa na kazi ya fasihi ==
Mwaka [[1862]] [[ndoa|alimwoa]] Sofia Andreevna Bers akazaa naye watoto 13.
 
Kutokana na vitabu vyake juu ya vita yavya [[Krimea]] alikuwa maarufu nchini Urusi na riwaya kubwa zilizofuata zilijenga sifa zake za kimataifa.
 
Pamoja na riwaya aliandika pia juu ya [[dini]]. [[Kitabu]] "Ufalme wa Mungu umo ndani yenu" kiliathiri watu wengi, wakiwa pamoja na [[Mahatma Gandhi]] na [[Martin Luther King]].
 
Mwaka [[1910]] alikufa kutokana na [[kifua kikuu]] akiwa na umri wa miaka 82.
 
{{mbegu-mtu}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1828]]