Yeriko : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 54 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5687 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Entering jericho south.jpg|thumb|right|300px|Yeriko kutoka kusini.]]
'''Yeriko''' (kwa [[Kiebrania]] יְרִיחוֹ, kwa [[Kiarabu]] أريحا, maana yake "wenye kunukia") ni [[mji]] wa kale sana, ulioanzishwa miaka 9000 hivi [[KK]] karibu na [[mto]] [[Yordani]].
Mwaka [[2006]] ulikuwa na wakazi 20,400<ref>[http://www.jericho-city.org/etemplate.php?id=12 Elected City Council Municipality of Jericho]. Retrieved 8 Machi 2008.</ref><ref name="PCBS">[http://www.pcbs.gov.ps/Portals/_pcbs/populati/pop09.aspx Projected Mid -Year Population for Jericho Governorate by Locality 2004–2006] [[Palestinian Central Bureau of Statistics]] (PCBS).</ref>
Umaarufu wake unatokana na kuwa chini ya usawa wa bahari kuliko miji yote duniani. Unasadikiwa pia kuwa mmojawapo kati ya miji ya zamani zaidi kukaliwa mfululizo hadi leo.<ref name=gates2003>{{cite book|last=Gates|first=Charles|year=2003| title="Near Eastern, Egyptian, and Aegean Cities", Ancient Cities: The Archaeology of Urban Life in the Ancient Near East and Egypt, Greece and Rome|publisher=Routledge|page=18|isbn=0415018951|quote= "Jericho, in the Jordan River Valley in Palestine, inhabited from ca. 9000 BCE to the present day, offers important evidence for the earliest permanent settlements in the Near East."}}</ref><ref name=Murphyp288>Murphy-O'Connor, 1998, p. 288.</ref><ref name=Freedmanp689>Freedman et al., 2000, p. 689–671.</ref>[[Akiolojia]] imekuta ardhini zaidi ya miji 20 iliyojengwa kwa nyakati tofauti mahali pale, kuanzia miaka 11,000 iliyopita.<ref name="encyclopedia1">[http://www.britannica.com/eb/article-9043547/Jericho "Jericho"], [[Encyclopedia Britannica]]</ref>▼
==Upekee wake==
Katika [[Biblia]] unatajwa kama "Mji wa Mitende": [[chemchemi]] mbalimbali ndani na kandokando yake zilivuta [[binadamu]] tangu [[milenia]] nyingi.<ref name=Bromileyp715>Bromiley, 1995, p. 715.</ref> Unatajwa hasa kuhusiana na [[Yoshua]] kuingiza [[Waisraeli]] waliotoka [[Misri]] na kuhusiana na [[Yesu]] ambaye huko alimuongoa [[mtozaushuru]] [[tajiri]] [[Zakayo]] na kumponya [[kipofu]] [[ombaomba]] [[Bartimayo]].▼
Umaarufu wake unatokana na kuwa chini ya usawa wa bahari kuliko miji yote duniani.
▲
[[Akiolojia]] imekuta chini ya [[ardhi]] zaidi ya miji 20 iliyojengwa kwa nyakati tofauti mahali pale, kuanzia miaka 11,000 iliyopita.<ref name="encyclopedia1">[http://www.britannica.com/eb/article-9043547/Jericho "Jericho"], [[Encyclopedia Britannica]]</ref>
==Katika Biblia==
▲Katika [[Biblia]] unatajwa kama "Mji wa Mitende": [[chemchemi]] mbalimbali ndani na kandokando yake zilivuta [[binadamu]] tangu [[milenia]] nyingi.<ref name=Bromileyp715>Bromiley, 1995, p. 715.</ref>
Katika [[Agano la Kale]] unatajwa kwa namna ya pekee kuhusiana na [[Yoshua]] kuingiza [[Waisraeli]] waliotoka [[Misri]] katika nchi ya [[Kanaani]] kwa kuvuka mto Yordani mkabala wa Yeriko na kuuteka kwa [[maandamano ya ibada]] ([[Yos]])
Katika [[Agano Jipya]] unatajwa kuhusiana na [[Yesu]] ambaye huko alimuongoa [[mtozaushuru]] [[tajiri]] [[Zakayo]] ([[Luk]] 19) na kumponya [[kipofu]] [[ombaomba]] [[Bartimayo]] ([[Mk]] 10).
== Tanbihi ==
{{Marejeo}}
{{Refbegin}}
* {{Cite book|title=City of Stone: The Hidden History of Jerusalem|authorlink=Meron Benvenisti|first=Meron|last=Benvenisti|publisher=[[University of California Press]]|year=1998|isbn=0520207688, 9780520207684}}
Line 42 ⟶ 54:
* [http://www.biblicalchronologist.org/answers/bryantwood.php The walls of Jericho fell in 1550 BCE]
[[Jamii:Miji ya Palestina]]
[[Jamii:Miji ya Biblia]]
[[Jamii:Akiolojia]]
|