Yeriko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
Katika [[Biblia]] unatajwa kama "Mji wa Mitende": [[chemchemi]] mbalimbali ndani na kandokando yake zilivuta [[binadamu]] tangu [[milenia]] nyingi.<ref name=Bromileyp715>Bromiley, 1995, p. 715.</ref>
 
Katika [[Agano la Kale]] unatajwa kwa namna ya pekee kuhusiana na [[Yoshua]] kuingiza [[Waisraeli]] waliotoka [[Misri]] katika nchi ya [[Kanaani]] kwa kuvuka mto Yordani mkabala wa Yeriko na kuuteka kwa [[maandamano ya ibada]] ([[Yos]] 6) kabla ya miji mingine yoyote.
 
Katika [[Agano Jipya]] unatajwa kuhusiana na [[Yesu]] ambaye huko alimuongoa [[mtozaushuru]] [[tajiri]] [[Zakayo]] ([[Luk]] 19) na kumponya [[kipofu]] [[ombaomba]] [[Bartimayo]] ([[Mk]] 10).