Tofauti kati ya marekesbisho "Hifadhi ya Serengeti"

229 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Tengua pitio 922415 lililoandikwa na 85.18.64.74 (Majadiliano))
 
[[Image:Hifadhi za Taifa - Tanzania Kaskazini.PNG|thumb|300px|Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti]]
[[File:Zebra in the Serengeti Wildebeest Migration.jpg|thumb|right|250px|[[Pundamilia]] na [[nyumbu]] wakati wa uhamajikuhama]]
[[File:Serengeti sunset, Tanzania.JPG|thumb|right|250px|[[Machweo]] ya Serengeti]]
 
'''Hifadhi ya Serengeti''' ni eneo kubwa la savana[[mbuga]] na [[misitu]] katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] ikipakana na [[Kenya]].nchi Eneo lake ni 14,763ya [[km²]] na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa [[Hifadhi ya Masai Mara]].
 
Eneo lake ni 14,763 [[km²]] na ki[[jiografia]] inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa [[Hifadhi ya Masai Mara]].
Kuna idadi kuba ya wanyama wa pori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya [[nyumbu]] wanaovuka mto Mara. Kuna pia aini nyingi nyingine za wanyama kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani [[tembo]], [[simba]], [[chui]], [[fisi]], [[kifaru]] na [[nyati]].
 
Kuna idadi kubakubwa ya wanyama wa pori[[wanyamapori]]. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa [[uhamisho]] wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya [[nyumbu]] wanaovuka [[mto Mara]]. Kuna pia ainiaina nyingi nyingine za [[wanyama]], kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani [[tembo]], [[simba]], [[chui]], [[fisi]], [[kifaru]] na [[nyati]].
Eneo la hifadhi ya [[Ngorongoro]] liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. [[Olduvai Gorge|Bonde la Olduvai]] ambako mabaki ya wanadamu wa kale kabisa yalipatikana liko ndani ya Serengeti.
 
Eneo la [[hifadhi]] ya [[Ngorongoro]] liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. [[Olduvai Gorge|Bonde la Olduvai]] ambako mabaki ya wanadamu wa kale kabisa[[zamadamu]] yalipatikana liko ndani ya Serengeti.
Mazingira ya '''Serengeti''' ni kanda ya kijiografia iko katika kaskazini-magharibi ya [[Tanzania]] na inaenea kwa kusini-magharibi mwa [[Kenya]] kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Ina enea kiwango cha mraba kilometa 30,000 <sup>2.</sup>
 
[[Mazingira]] ya '''Serengeti''' ni kanda ya kijiografia iko katika kaskazini-magharibi yamwa [[Tanzania]] na inaenea kwa kusini-magharibi mwa [[Kenya]] kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Ina eneaInaenea kiwango cha mraba kilometa 30,000 <sup>2.</sup>
Serengeti ina gura/uhamiaji ya wanyama kwenye ardhi kubwa na ndefu zaidi duniani,<ref name="partridge">{{cite news | first=Frank | last=Partridge | coauthors= | title=The fast show | date=2006-05-20 | publisher= | url =http://www.findarticles.com/p/articles/mi_qn4158/is_20060520/ai_n16416123 | work =The Independent (London) | pages = | accessdate = 2007-03-14 | language = }}</ref> ambao hua ni tukio wa nusu mwaka .
Uhamiaji huu ni moja ya [[maajabu kumi ya asili ya ulimwengu ya kusafiri]].
 
Serengeti ina gura/uhamiaji ya wanyama kwenye [[ardhi]] kubwa na ndefu zaidi duniani,<ref name="partridge">{{cite news | first=Frank | last=Partridge | coauthors= | title=The fast show | date=2006-05-20 | publisher= | url =http://www.findarticles.com/p/articles/mi_qn4158/is_20060520/ai_n16416123 | work =The Independent (London) | pages = | accessdate = 2007-03-14 | language = }}</ref> ambao hua ni tukio wa nusu mwaka .
Kanda hii ina [[hifadhi za taifa]] na [[hifadhi mchezo kadhaa]]. Serengeti imechukuliwa kutoka lugha ya [[Kimasai, Maa;]] hasa, "Serengit" kumaanisha "Kiwara kisichoisha". <ref>Northern Tanzania with Kilimanjaro and Zanzibar, by Phillip Briggs, 2006, page 198. ISBN 1841621463.</ref> <ref>[http://darkwing.uoregon.edu/~dlpayne/Maa%20Lexicon/index-english/main.htm Maa (Maasai) Dictionary]</ref>
Uhamiaji huuhuo ni moja ya [[maajabu kumi ya asili ya ulimwengu ya kusafiri]].
 
Kanda hii ina [[hifadhi za taifa]] na [[hifadhi mchezo kadhaa]]. Jina Serengeti imechukuliwalimechukuliwa kutoka lugha ya [[Kimasai, Maa;]] hasa, "Serengit" kumaanisha "Kiwara kisichoisha". <ref>Northern Tanzania with Kilimanjaro and Zanzibar, by Phillip Briggs, 2006, page 198. ISBN 1841621463.</ref> <ref>[http://darkwing.uoregon.edu/~dlpayne/Maa%20Lexicon/index-english/main.htm Maa (Maasai) Dictionary]</ref>
Inakadiriwa [[mamalia]] 70 kubwa na baadhi ya [[spishi]] 500 avifauna (yaani [[Ndege (mnyama)|ndege]]) hupatikana huko. Tofauti huu wa juu upande wa spishi ni shughuli makazi mbalimbali kuanzia misitu ya riverine, mabwawa, [[kopjes,]] mbuga na misitu. <ref name="autogenerated1"> [http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us 403 Forbidden]</ref> [[Nyumbu bluu]], [[swara]], [[punda milia]] na [[nyati]] ni baadhi ya mamalia kubwa ambao kwa kawaida hupatikana katika kanda hili.
 
Inakadiriwa [[mamalia]] 70 kubwa na baadhi ya [[spishi]] 500 [[avifauna]] (yaani [[Ndege (mnyama)|ndege]]) hupatikana huko. Tofauti huuhii waya juu upande wa spishi ni shughuli makazi mbalimbali kuanzia misitu ya riverine, mabwawama[[bwawa]], [[kopjes,]] mbuga na misitu. <ref name="autogenerated1"> [http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us 403 Forbidden]</ref> [[Nyumbu bluu]], [[swara]], [[punda milia]] na [[nyati]] ni baadhi ya mamalia kubwa ambao kwa kawaida hupatikana katika kanda hilihii.
Karibu Oktoba, karibu herbivores (yaani wanyama wanaokula majani badala ya nyama) milioni 2 husafiri kutoka milima ya kaskazini kuelekea nyanda za kusini na kuvuka [[mto wa Mara]] katika harakati za mvua. Katika mwezi wa Aprili, wao hurejea kaskazini kwa kupitia magharibi, na kwa mara nyingine tena kuvuka Mto wa Mara. Jambo hili kwa mara huitwa "Circular migration" yaani uhamiaji mviringo. Nyumbu zaidi ya 250,000 peke watakufa safarini kutoka Tanzania kwenda katika [[Masai Mara|mbuga ya wanyama ya Masai Mara]] huko Kenya pande za juu, ambayo ni jumla ya maili 500. Kifo mara nyingi unasababishwa na maudhi au uchovu. <ref name="partridge"></ref> Uhamiaji huu umeonyeshwa katika filamu na programu nyingi za televisheni kote duniani.
 
Karibu Oktoba, karibu herbivores (yaani [[wanyama wanaokula majani]] badala ya(si [[nyama]]) milioni 2 husafiri kutoka milima ya kaskazini kuelekea nyanda za kusini na kuvuka [[mto wa Mara]] katika harakati za [[mvua]]. Katika mwezi wa Aprili, wao hurejea kaskazini kwa kupitia magharibi, na kwa mara nyingine tena kuvuka Mto wa Mara. Jambo hili la mara kwa mara huitwa kwa [[Kiingereza]] "Circular migration" yaani [[uhamiaji mviringo]]. Nyumbu zaidi ya 250,000 pekepekee watakufa safarini kutoka Tanzania kwenda katika [[Masai Mara|mbuga ya wanyama ya Masai Mara]] huko Kenya pande za juu, ambayo ni jumla ya [[maili]] 500. [[Kifo]] mara nyingi unasababishwa na maudhi au [[uchovu]]. <ref name="partridge"></ref> Uhamiaji huu umeonyeshwa katika [[filamu]] na [[programu]] nyingi za [[televisheni]] kote duniani.
 
==Historia==
[[File:Serengeti NCR Maasai.jpg|thumb|right|250px|Mvulana wa kimaasai (Moran au warrioraskari) anatembea ndani ya Serengeti na miinuko ya Ngorongoro kamaiko bakgrundnyuma.]]
Sehemu kubwa wa Serengeti hapo awali ilijulikana kama Maasailand kwa wageni.
Upande mkubwa wa Serengeti hapo awali ulijulikana kama Maasailand kwa wageni. [[Wamasai]] walijulikana kama shujaa wakali , na waliishi pamoja na wanyama wa pori huku wakiishi kwa kuwala mifugo yao pekee. Nguvu zao na sifa zilisababisha wasafiri kutoka Ulaya kutotumia wanyama na rasilimali ya nchi yao vibaya. [[Janga la "rinderpest"]] na ukame wakati wa 1890 ulisababisha upungufu wa idadi ya Wamaasai na wanyama. Uwindaji haramu ya wanyama wa pori na ukosefu wa moto, ambayo yalikuwa matokeo ya shughuli za binadamu, yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo. [[Uongezekaji wa chafuo]] sasa ulisababisha kutokuwa kwa makaazi ya binadamu katika eneo hili. Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. <ref name="autogenerated2">Serengeti II: Dynamics, Management, and Conservation of an Ecosystem. Anthony Ronald Entrican Sinclair, Peter Arcese. 1995. University of Chicago Press. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Kurasa 73-76.] ISBN 0226760316.</ref> Mnapo miaka ya 1960, idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudia na Wamaasai ili kuongeza eneo ya malisho ya mifugo, au kwa ajali, ulisababisha kuchomeka kwa miche mpya ya miti. Mvua nzito ulichangia ukuaji wa majani, ambao ulikuwa kama mafuta kwa moto wakati wa misimu kavu zifuatazo. Miti mzee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, yalianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti changa na mzee, amekuwa walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio ilionyesha kuwa kulikuwa na sababu nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka 1970 hadi 467 katika mwaka wa 1986 kwa uwindaji haramu. <ref> ''Serengeti II.'' Sinclair, Arcese. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Ukurasa 76.] ISBN 0226760316.</ref> Mnapo miaka ya 1970 idadi ya nyumbu na nyati ya Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa kasi, basi kusababisha upuingufu wa mafuta ya kusambazaa moto. <ref> http://www.sciencemag.org/cgi/content/full/278/5346/2059</ref> kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena. <ref name="autogenerated2"></ref>
 
[[Wamasai]] walijulikana kama [[shujaa]] wakali, na waliishi pamoja na wanyamapori huku wakila [[mifugo]] yao pekee.
 
[[Nguvu]] zao na [[sifa]] zilisababisha wasafiri kutoka [[Ulaya]] kutotumia wanyama na [[rasilimali]] ya nchi yao vibaya.
 
[[Janga la "rinderpest"]] na [[ukame]] wakati wa [[1890]] ulisababisha kupungua kwa idadi ya Wamasai na wanyama. [[Uwindaji haramu]] wa wanyamapori na ukosefu wa [[moto]], ambayo yalikuwa matokeo ya [[shughuli]] za [[binadamu]], yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo.
 
[[Uongezekaji wa chafuo]] sasa ulisababisha kutokuwa kwa makazi ya binadamu katika eneo hili.
 
Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. <ref name="autogenerated2">Serengeti II: Dynamics, Management, and Conservation of an Ecosystem. Anthony Ronald Entrican Sinclair, Peter Arcese. 1995. University of Chicago Press. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Kurasa 73-76.] ISBN 0226760316.</ref>
 
Mnamo [[miaka ya 1960]], idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudi na Wamaasai ili kuongeza eneo ya [[malisho]] ya mifugo, au kwa [[ajali]], ulisababisha kuchomeka kwa miche mipya ya miti.
 
Mvua nzito ilichangia [[ukuaji]] wa majani, ambao ulikuwa kama [[mafuta]] kwa moto wakati wa misimu mikavu ifuatayo. Miti mizee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, ilianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti michanga na mizee, walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio yalionyesha kulikuwa na [[sababu]] nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka [[1970]] hadi 467 katika mwaka [[1986]] kutokana na uwindaji haramu. <ref> ''Serengeti II.'' Sinclair, Arcese. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Ukurasa 76.] ISBN 0226760316.</ref>
 
Mnamo [[miaka ya 1970]] idadi ya nyumbu na nyati wa Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa [[kasi]], na kusababisha upungufu wa mafuta ya kusambazaa moto. <ref> http://www.sciencemag.org/cgi/content/full/278/5346/2059</ref> kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena. <ref name="autogenerated2"></ref>
 
==Hifadhi ya mazingira==
Bara la Maasai inalina mbuga ya wanyama bora zaidi Afrika Mashariki. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Nigel Pavitt. 2001. Ukurasa 122. Harry S. Abrams, Incorporated, New York. ISBN 0-8109-0602-3.</ref> [[Serikali]] yaza Tanzania na Kenya hutunza idadi kadhakadhaa ya maeneo yaliyochunwa: mbuga, maeneo ya hifadhi, mapori ya akiba, nkn.k., ambayo hutoa [[ulinzi wa kisheria]] kwa zaidi ya 80% ya Serengeti. <ref>http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us</ref>
 
[[Ol Doinyo Lengai]], ikiwapo mlima wa moto ulio bado na[[volkeno uhaihai]] katika eneo la Serengeti, ni mlima wa moto pekee ambao bado hutoa "carbonatite lava". "Carbonatite lava", unapo fichuliwaunapofichuliwa kutoka kwa [[hewa]], hubadilisha [[rangi]] kutoka [[samawati]] hadi [[nyeusi]] na kufwananakufanana na "washing soda". [[Tabaka]] nzitozito yala [[jivu]] unawezalinaweza geukakugeuka kuwa hardpan iliotajirika na kalsiamu ngumu kama [[saruji]] baada ya kunyeshewa. Mizizi ya mti haiwezi kupenya [[safu]] hii, na kimsingi [[tambarare]] bila miti ya Serengeti, ambayo yakoiko magharibi na [[upepo]] chini ya Ol Doinyo Lengai, ni matokeo. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Pavitt, kurasa 130, 134.</ref>
[[File:Serengeti koppie.jpg|thumb|left|350px|Miinuko ya [[mwamba]], au "koppes", katika tambarare ya Serengeti.]]
 
Eneo la Kusini-Mashariki ambalo lipo katika [[kivuli]] mvua ya miinuko ya Ngorongoro na linajumuisha tambarare lenye majani mafupi bila miti na "dicot" tele ndogondogo. [[Udongo]] una [[rutuba]] kwa wingi, yakiwa juu ya "calcareous hardpan" fupi. "Gradient" ya [[urefu]] wa udongo kaskazini-mashariki ukipita tambarare husababisha mabadiliko katika [[jamii]] na herbaceous na nyasi refu.
==Ecology==
Bara la Maasai ina mbuga ya wanyama bora zaidi Afrika Mashariki. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Nigel Pavitt. 2001. Ukurasa 122. Harry S. Abrams, Incorporated, New York. ISBN 0-8109-0602-3.</ref> Serikali ya Tanzania na Kenya hutunza idadi kadha ya maeneo yaliyochunwa: mbuga, maeneo ya hifadhi, mapori ya akiba, nk, ambayo hutoa ulinzi wa kisheria kwa zaidi ya 80% ya Serengeti. <ref>http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us</ref>
 
Baadhi ya 70 km magharibi, [[misitu ya Acacia]] huonekana ghafla na kunyoosha magharibi kuelekea [[ziwa Victoria]] na kaskazini kuelekea katika tambarare za [[Loita]], kaskazini mwa [[mbuga ya wanyama ya kitaifa ya Maasai Mara]]. Aina 16 tofauti ya Acacia zipo katika [[msitu]] huu, [[usambazaji]] wake ukiamuliwa na hali [["edaphic"]] na urefu wa udongo.
[[Ol Doinyo Lengai]], ikiwapo mlima wa moto ulio bado na uhai katika eneo la Serengeti, ni mlima wa moto pekee ambao bado hutoa "carbonatite lava". "Carbonatite lava", unapo fichuliwa kutoka kwa hewa, hubadilisha rangi kutoka samawati hadi nyeusi na kufwanana na "washing soda". Tabaka nzito ya jivu unaweza geuka kuwa hardpan iliotajirika na kalsiamu ngumu kama saruji baada ya kunyeshewa. Mizizi ya mti haiwezi kupenya safu hii, na kimsingi tambarare bila miti ya Serengeti, ambayo yako magharibi na upepo chini ya Ol Doinyo Lengai, ni matokeo. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Pavitt, kurasa 130, 134.</ref>
[[File:Serengeti koppie.jpg|thumb|left|350px|Miinuko ya mwamba, au "koppes", katika tambarare ya Serengeti.]]
 
Eneo la Kusini-Mashariki ambalo lipo katika kivuli mvua ya miinuko ya Ngorongoro na linajumuisha tambarare lenya majani mafupi bila miti na "dicot" tele ndogo ndogo. Udongo yana rutuba kwa wingi, yakiwa juu ya "calcareous hardpan" fupi. "Gradient" ya urefu wa udongo kaskazini-mashariki ukipita tambarare husababisha mabadiliko katika jamii na herbaceous na nyasi refu. Baadhi ya 70 km magharibi, [[misitu ya Acacia]] huonekana ghafla na kunyoosha magharibi kuelekea [[ziwa Victoria]] na kaskazini kelekea katika tambarare za Loita, {{Citation needed|date=Julai 2008}} kaskazini mwa [[mbuga ya wanyama ya kitaifa ya Maasai Mara]]. Aina 16 tofauti ya Acacia yapo katika msitu huu, usambazaji wao ukiamuliwa na hali [["edaphic"]] na urefu wa udongo. Karibu na Ziwa Victoria kuna tambarare yenye [[mafuriko]] yaliyitokanayaliyotokana na "lakebeds" za kale. Katika kaskazini magharibi, misitu ya Acacia yamebadilishwaimebadilishwa na misitu ya "Terminalia-Combretum" yenye majani mapana, uliodhamiria kutokana na mabadiliko katika geologi[[jiolojia]]. Eneo hili lina kiwango cha juu zaidi yacha mvua katika mfumo na huunda [[kimbilio kwa]] kwa wanyama wanaohama mwisho wa msimu wa [[kiangazi]]. <ref> http://archive.is/20121209175953/http://webcache.googleusercontent.com/search?q=cache:j9xvfWrq0L0J:www.uoguelph.ca/ib/pdfs/Sinclair_2007_ConsBiol.pdf+acacia+trees+serengeti+fire&hl=en&ct=clnk&cd=6&gl=us</ref>
 
Muinuko[[Mwinuko]] katika Serengeti huanzia [[mita]] 920 hadi 1850 na [[joto]] wastani kuanzia [[digrii]] 15 hadi digrii 25 "Celsius". Ingawa kwa kawaida [[hali ya hewa]] huwa ya joto na kavu, mvua hutokea katika misimu miwili ya mvua: Machi-Mei, na msimu mfupi katika Oktoba na Novemba. Kiasi cha mvua inatofautiana kutoka kiwango cha chini cha 508 mm katika upande wa "lee" ya miinuko ya Ngorongoro na kiwango cha juu cha 1,200 mm katika [[pwani]] ya Ziwa Victoria. <ref> http://www.glcom.com/hassan/serengeti.html</ref> [[Nyanda za juu]], ambazo ni [[baridi]] kuliko tambarare na kufunikwa na misitu ya "montane", ndiondiyo alama ya [[mpaka]] wa mashariki ya bonde ambayo Serengeti uko.
 
Tambarare lawazi Serengetiya waziSerengeti ina miinuko ya "granite" inayojulikana kama "koppes". Miinuko hayahiyo ni matokeo ya shughuli kutokana na volkeno. "Koppies" hutoa makazi madogo kwa nyanda zisizo wanyamapori. "Koppe" moja unao uwezekanoinayoweza kuonekana kwa wageni huko Serengeti ni [[Simba Koppe]] (Lion Koppe). Serengeti ilitumika kama [[jukwaa]] utengenezakutengeneza filamu ya "Disney" ya ''[[The Lion King]]'' na baadaebaadaye uvumbuaji wa filamu za jukwaa.
 
Eneo hilo pia ni nyumbani kwa [[eneo lililohifadhiwa la Ngorongoro,]] ambayoambalo inalina "[[Olduvai Gorge]]", ambapo baadhi ya "hominid fossils" kongwe hupatikana, vilevile pia "[[Ngorongoro Crater]]", caldera ya volkeno kubwa zaidi ulimwenguni.
 
==Marejeo==
 
{{DEFAULTSORT:Serengeti}}
[[Jamii:Mbuga yaza Tanzania]]
[[Jamii:Hifadhi za Taifa za Tanzania]]
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]