Tofauti kati ya marekesbisho "Uingereza"

160 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
sahihisho dogo
(Eire)
(sahihisho dogo)
'''Uingereza''' (pia: '''Ingilandi''', '''England''') ni nchi kubwa ndani ya [[Ufalme wa Muungano]] yenye wakazi milioni 50 au 83% ya wakazi wa Ufalme wote na eneo lake ni theluthi mbili ya kisiwa cha [[Britania]].
 
Katika lugha ya kila siku "Uingereza" hutaja mara nyingi Ufalme wote au kisiwa chote cha Britania. Lakini hali halisi "Uingereza" ni ile sehemu kubwa zaidi kwenye kisiwa kile pamoja na [[Uskoti]] (Scotland) na [[Welisi]] (Wales).
 
Asili ya jina la Kiswahili ni neno "إنجليزي injilisi ''(matamshi ya Kimisri: ingilisi)''" katika lugha ya [[Kiarabu]] na kwa namna ya Kibantu sauti ya "l" ikawa "r"; Waarabu walipokea jina kutoka kwa Kihispania "Ingles" ambalo ni neno lao kwa Mwingereza.
Katika karne za 5 na 6 BK makabila ya [[Kigermanik]] walivamia kisiwa hasa [[Wasaksoni]], [[Waanglia]] na [[Wadenmark]]. Walileta lugha zao za Kigermanik zilizochukua nafasi ya lugha ya Wabritania.
 
Wabritania na Waroma waliokuwa wamebaki walihamia maeneo ya kando kama Welisi au [[Cornwall]] au kuvuka mfereji wa Uingereza kwenda Britania Ndogo (Kiingereza:Brittany; Kifaransa: Bretagne).
 
Karne zilizofuata kisiwa kiliona madola madogo na hali ya vita. Mwaka [[937]] Mfalme [[Athelstan]] aliweza kuunganisha karibu enoeneo lote la Uingereza ya leo.
 
=== Uvamizi wa Wanormani ===
 
=== Ufalme wa Muungano ===
Tangu mwaka [[1601]] mfalme James VI wa Uskoti alichaguliwa kuwa mfalme wa Uingereza pia. Nchi jirani zote mbili ziliendelea na mfalmewafalme mmojawa pamoja hadi mwaka [[1707]]. Mwaka ule Uingereza pamoja na Welisi na Uskoti ziliunganishwa kuwa Ufalme wa Muungano wa Britania. Tangu 1801 jina likawa Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire (United Kingdom of Great Britain and Ireland) hadi 1927 wakati sehemu kubwa ya Eire ikapata uhuru wake. Tangu [[1927]] Uingereza ni sehemu ya [[Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini]] (United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland).
 
[[Picha:Liverpool skyline.jpg|thumb|330px|Mji wa Liverpool]]