Mashindano ya magari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mashindano ya magari''' ni aina ya michezo inayotumia motokaa. Ni kati ya michezo yenye watazamaji wengi duniani. Mashindano ya magari hufanywa kweny...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mashindano ya magari''' ni aina ya [[michezo]] inayotumia [[motokaa]]. Ni kati ya michezo yenye [[watazamaji]] wengi duniani[[dunia]]ni. Mashindano ya magari hufanywa kwenye viwanja maalumu au pia kwenye [[barabara]] za kawaida zilizifungwazilizOfungwa kwa muda kwa nyendo yaza kawaida.
 
Kuna mashindano ya motokaa za pekee zinazotegenezwa kwa mashindano tu, lakini pia mashindano mengine ya motokaa ya kawaida. Mashindano haya mara nyingi yanagharamiwa kwa kiasi kikubwa na makampuni yanayotumia nafasi hii kwa majaribio ya [[teknolojia]] za [[injini]], [[matairi]], [[breki]] au [[vipuli]] vingine.
 
[[Picha:1894 paris-rouen - georges lemaître (peugeot 3hp) 1st.jpg|thumbnail|Gari la mashindano ya [[1894]] Paris-Rouen]]
==Historia==
Mashindano ya kwanza ya magari yalifanywa mwaka 1894 huko [[Ufaransa]] bainakati ya miji ya [[Paris]] na [[Rouen]] kwa [[umbali]] wa [[kilomita]] 126. Yalitangazwa kama "mashindano ya magari bila farasi". Kati ya magari zaidi ya 100 ya mashindano yalikuwepo 39 zenye [[injini ya mvuke]], 38 zenye [[injini ya petroli]], 5 zenye [[injini ya umeme]] na 5 zilizoendeshwa kwa [[hewa iliyokandamizwa]]. Magari 15 tu yalifikia mwisho, mengine yalikwama njiani. Gari la kwanza likawa gari la mvuke la Albert Jules Comte de Dion lililofikia mbio wa 19 [[km/h]] kwa [[wastani]].
 
[[Maendeleo]] ya teknolojia yalionyesha [[faida]] za injini ya petroli, nahivyo injini nyingine zilipotea kwa muda mrefu katika mashindano ya magari.
 
Mashindano ya kwanza kwa umbali mkubwa ulitokea mwaka [[1907]] kati ya [[Beijing]] ([[China]]) na Paris kwa umbali wa takriban kilomita 15,000 na sehemu kubwa ya [[njia]] hii ilikuwa bila barabara. Motokaa 5 zilishiriki.
 
[[Picha:2006 Malaysian Grand Prix.jpg|thumbnail|Magari ya fomula 1 kwenye Grand Prix huko Malaysia 2006]]
==Aina za mashindano ya magari==
*'''Mashindano ya fomula''' ambako ni magari yanayolingana nayanayotimiza masharti fulani pekeetu yanaruhusiwa. Aina inayojulikama zaidi ni "FormulaFomula 1" . Mwaka [[2014]] masharti kwa washiriki yalikuwa kutumia injini ya silinda 6, mjao wa lita 1.6, mizunguko ya injini 15,000 kwa dakika na nguvu hadi 426 [[kW]].
*'''Mashindano ya Magari ya michezo''' (sports cars racing) ni pia magari yaliyotengenezwa hasa kwa ajili ya mashindano yao; hayana [[mbio]] kama fomula 1 lakini mashindano ni ya muda mrefu zaidi na kwa umbali mbkuwamkubwa zaidi, kwa mfano mbio wa masaa 24 huko [[Le Mans]] ambako maderevama[[dereva]] 2 wanabadilishana.
[[Picha:Robert Huff 2009 WTCC Pau.jpg|thumbnail|Chevrolet Cruze touring]]
*'''Mashindano ya Magari ya touring''' ni magari ya kawaida yaani yalitengenezwa viwandani kama motokaa ya barabarani ya kawaida lakini yanaandaliwa baadaye kwenye [[karakhana]] kwa ajili ya masshindanomashindano kwa kusahihisha injini, kubadilisha breki na kadhalika.
*'''Mashindano ya rally''' hufanywa kwenye barabara za kawaida zilizofungwa kwa magari mengine ila washiriki au pasipo na barabara. Kati ya rally mashuhuri ni Ralle Dakar ambayo kati ya [[1978]] hadi [[2007]] iliitwa Rallye Paris-Dakar kati ya [[Paris]] na [[Dakar]] ([[Senegal]]) na tangu [[2009]] hufanzwahufanywa katika [[Amerika Kusini]]. Rally mashuhuri ya [[Afrika ya mashariki]] ni [[Safari Rally]].
 
==Viungo vya Nje==