Tofauti kati ya marekesbisho "Meli"

no edit summary
No edit summary
Katika mazingira ya Mediteranea meli hizi za kwanza zilisogezwa kwa [[kasia]] pamoja na tanga. Meli kubwa za kiroma zilikuwa na kasia kubwa zilizopigwa na watumwa wawili au watatu kwa kila kasia.
 
Jahazi ziliboreshwa hadi kuvuka bahari kuanzia karne ya 15 BK. Wachina na Wareno ni watu wa kwanza waliovuka bahari za mbali. Ila tu Wachina baada ya kutembelea mara kadhaa pwani za Afrika chini ya [[Zheng He]] mnamo mwaka 1400 waliamua kuacha upelelezi huu lakini Wareno waliendelea kuvuka Afrika na dunia yote na kuanzisha kipindi cha ukoloni cha Ulaya. Katika karne ya 19 [[injini ya mvuke]] ilipatikana hata kwa meli. Meli zikawa kubwa zikaendelea kukua wakati [[injini ya diseli]] imepatikana katika karne ya 20.
 
Katika karne ya 19 [[injini ya mvuke]] ilipatikana hata kwa meli. Meli zikawa kubwa zikaendelea kukua wakati [[injini ya diseli]] imepatikana katika karne ya 20.
[[Picha:Supertanker AbQaiq.jpg|thumb|300px|Meli kubwa ya shehena ya mafuta ya petroli]]
 
== Aina na idadi ya meli ==
 
== Meli za kiafrica ==
 
[[Picha:Supertanker AbQaiq.jpg|thumb|300px|Meli kubwa ya shehena ya mafuta ya petroli]]
 
[[Mombasa Express]]
Anonymous user