Katerina wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 50:
 
=== Uhusiano na viongozi wa [[Kanisa]] na wa [[siasa]] ===
Katerina hakuogopa watu wakubwa bali aliwaelekea uso kwa uso bila [[unyonge]]. Pamoja na kwamba aliheshimu daima mamlaka ya viongozi vya Kanisa, hasa ya [[Papa]], aliyemuita “Kristo mtamu aliyepo duniani”, kwenye mwaka [[1372]] hivi alimueleza [[balozi wa Papa]] huko Italia, [[Pietro d'Estraing]], haja ya kurekebisha [[maadili]] ya [[wakleri]], ya kumrudisha [[Papa]] toka [[Avignone]] (watangulizi wake na yeye walipokaa tangu mwaka [[1309]]) hadi Roma na ya kuendesha [[vita vya msalaba]] dhidi ya wasioamini.
 
Pamoja na hayo, ilimbidi ateseke sana, kwa sababu wengi hawakumuamini.
Mstari 62:
Mwanzoni mwa mwaka [[1378]] aliagizwa kupatanisha [[Ukulu mtakatifu]] na mji wa Firenze.
 
Lakini tarehe [[20 Septemba]] wa mwaka huohuo, huko [[Fondi]], lilianza [[Farakano la magharibiMagharibi]] ambalo lilimsikitisha sana likadumu miaka 40 kwa madhara makubwa.
 
Alifariki Roma, Italia, tarehe 29 Aprili 1380, akiwa na miaka 33 tu, baada ya kushindwa muda mrefu kula na kunywa chochote isipokuwa [[Ekaristi]] kutokana na njozi ya [[Yesu Kristo]] aliyemjalia kufyonza [[damu]] ubavuni mwake.
 
Kabla hajafa alisema, “Katika kuhama [[mwili]] wangu, kweli nimemaliza na kutoa maisha yangu ndani ya Kanisa na kwa ajili ya Kanisa takatifu”.
 
== Utukufu ==
Mstari 147:
* ''Barua'' 381
* ''Sala'' [26/27]
 
==Picha==
<gallery>
File:Giovanni Battista Tiepolo 096.jpg|[[Giovanni Battista Tiepolo]], "Mt. Katerina wa Siena", [[1746]] hivi, Kunsthistorisches Museum, [[Vienna]], [[Austria]]
File:Giovanni di paolo, St Catherine of Siena.jpg|[[Giovanni di Paolo]], "Mt. Katerina wa Siena", [[1475]] hivi. Fogg Art Museum, [[Cambridge]], [[Uingereza]].
File:Lesser Poland St. Catherine of Siena.jpg|"Mt. Katerina na mashetani", [[1500]] hivi, National Museum, [[Warsaw]].
File:Revelación del Santísimo Rosario a Santo Domingo de Guzmán.jpg|[[Bikira Maria]] akimpa [[Mt. Dominiko]] [[rozari]]. Katika picha anaonekana pia Katerina wa Siena. [[San Cristóbal de La Laguna]], [[Tenerife]], [[Hispania]].
File:San Domenico74.jpg|"Komunyo ya fumbo ya Mt. Katerina" kadiri ya [[Francesco Brizzi]]
</gallery>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Vyanzo==
* Blessed Raymond of Capua, ''The Life of St. Catherine of Siena,'' tr. George Lamb (Rockford, Illinois: TAN Books, 2003)
* Catherine of Siena, ''The Dialogue'', ed. Suzanne Noffke, (Paulist Press, New York, 1980) isbn 0-8091-2233-2
* Hollister, Warren C. and Bennett, Judith M. ''Medieval Europe: A Short History'', 9th ed., (McGraw-Hill Companies Inc, Boston, 2002)
* Skårderud, Finn. ''Holy anorexia: Catherine of Siena'', (Tidsskrift for norsk psykologforening, Oslo, 2008)
 
==Matoleo ya baadaye==
*The Italian critical edition of the ''Dialogue'' is Catherine of Siena, ''Il Dialogo della divina Provvidenza: ovvero Libro della divina dottrina'', 2nd ed., ed. Giuliana Cavallini (Siena: Cantagalli, 1995). [1st edn, 1968] [Cavallini demonstrated that the standard division of the ''Dialogue'' in into four treatises entitled the 'Treatise on Discretion', 'On Prayer', 'On Providence', and 'On Obedience', was in fact a result of a misreading of the text in the 1579 edition of the ''Dialogue''. Modern editors, including Noffke (1980), have followed Cavallini in rejecting this fourfold division.]
*The Italian critical edition of the 26 ''Prayers'' is Catherine of Siena, ''Le Orazioni'', ed. Giuliana Cavallini (Rome: Cateriniane, 1978)
*The most recent Italian critical edition of the Letters is Antonio Volpato, ed, ''Le lettere di Santa Caterina da Siena: l'edizione di Eugenio Duprè Theseider e i nuovi problemi'', (2002)
 
Tafsiri za Kiingereza za Maongezi:
*In the early fifteenth century, heavily adapted, by an unknown writer. This edition was printed in 1519. It was published, still in its original Middle English, as Phyllis Hodgson and Gabriel M Leigey, eds, ''The Orcherd of Syon'', (London; New York: Oxford UP, 1966).
*Catherine of Siena, ''The Dialogue of the seraphic virgin Catherine of Siena'', trans Algar Thorold, (London: Kegan Paul, Trench, Trübner & Co, 1896). [This does not contain chapters 135-153.]
 
Tafsiri za Kiingereza za barua:
*{{cite book | last = Catherine of Siena| first = | title = The Letters of St. Catherine of Siena |editor=Suzanne Noffke | publisher = Center for Medieval and Early Renaissance Studies, State University of New York at Binghamton | location = Binghamton | year = 1988 | isbn = 0-86698-036-9 |volume= 4}} [Republished as ''The letters of Catherine of Siena'', 4 vols, trans Suzanne Noffke, (Tempe, AZ: Arizona Center for Medieval and Renaissance Studies, 2000-2008))
 
Tafsiri ya Kiingereza za Sala:
*''The Prayers of Catherine of Siena'', trans Suzanne Noffke, 2nd edn 1983, (New York, 2001)
 
Tafsiri ya Kiingereza ya Maisha yaliyoandikwa na Raymond wa Capua:
*{{cite book | last = Raymond of Capua |authorlink=Raymond of Capua |editor= Conleth Kearns | first = | title = The Life of Catherine of Siena | publisher = Glazier | location = Wilmington | year = 1980 | isbn = 0-89453-151-4 }}
 
==Marejeo mengine==
*Carolyn Muessig, George Ferzoco, Beverly Mayne Kienzle, eds, ''A companion to Catherine of Siena'', (Leiden: Brill, 2012).
*{{cite book | last = Hollister| first = Warren |author2=Judith Bennett |title = Medieval Europe: A Short History | publisher = McGraw-Hill Companies Inc. | location = Boston|edition=9| year = 2001| isbn = 0-07-234657-4|page=343}}
*{{cite book |last=McDermott,|first=Thomas, O.P.|title=Catherine of Siena: spiritual development in her life and teaching|publisher=Paulist Press|location=New York|year=2008|isbn=0-8091-4547-2}}
*Cross, F. L., ed. (1957) ''The Oxford Dictionary of the Christian Church''. Oxford U. P.; p.&nbsp;251
*Girolamo Gigli, ed, ''L'opere di Santa Caterina da Siena'', 4 vols, (Siena e Lucca, 1707-1721)
*''The Dialogue of St. Catherine of Siena'', [[TAN Books]], 2009. ISBN 978-0-89555-149-8
 
==Viungo vya nje==
* {{gutenberg author| id=Catherine+of+Siena+Saint | name=Catherine of Siena}}
* [http://www.gutenberg.org/dirs/etext05/8ltcb10.txt Letters of Catherine from Gutenberg]
* [http://www.intratext.com/Catalogo/Autori/AUT59.HTM Saint Catherine of Siena: Text with concordances and frequency list]
* [http://www.drawnbylove.com ''Drawn by Love, The Mysticism of Catherine of Siena'']
*[http://www.christianiconography.info/catherineSiena.html St. Catherine of Siena] at the [http://www.christianiconography.info Christian Iconography] web site
* [http://purl.stanford.edu/rm504km6504 ''Divae Catharinae Senensis Vita'' 15th-century manuscript] at ''Stanford Digital Repository''
 
{{Walimu wa Kanisa}}