Roberto Bellarmino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Wenceslas Hollar - Cardinal Bellarmin.jpg|thumb]]
 
Roberto Francesco Romolo Bellarmino ([[Montepulciano]], [[wilaya]] ya [[Siena]], nchini [[Italia]], [[4 Oktoba]] [[1542]] - [[Roma]], [[Italia]], [[17 Septemba]] [[1621]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Shirika la Yesu]], halafu [[padri]], [[askofu]] na [[kardinali]] wa [[Kanisa Katoliki]] anayeshika nafasi muhimu katika [[historia]] ya [[karne ya 16]] na [[karne XVII|17]].
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[13 Mei]] [[1923]], [[mtakatifu]] tarehe [[29 Juni]] [[1930]] na [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[17 Septemba]] [[1931]].
Mstari 9:
== Maisha ==
=== Utoto na ujana ===
Roberto alizaliwa Montepulciano, wilaya ya Siena, Italia, tarehe 4 Oktoba 1542, katika familia kubwa, akiwa mtoto wa kiume wa tatu kati ya watano; wazazi wake walikuwa na asili ya kisharifu, lakini hali ya uchumi ilikuwa tofauti. Baba yake, Vincenzo Bellarmino, alikuwa jaji, na mama yake, Cinzia Cervini, alikuwa [[dada]] wa [[Papa Marcello II]].
 
Tangu utotoni alikuwa na afya mbovu na mwelekeo mkubwa kwa mambo ya [[dini]] kama mama yake. Baada ya kupata [[malezi]] nyumbani, alitumwa [[Padova]] kwa masomo.
Mstari 24:
Baada ya kupewa [[upadrisho]] huko [[Gand]] tarehe [[25 Machi]] [[1570]], alibaki Louvain miaka sita kama mwalimu wa teolojia na mhubiri, akizidi kupata wanafunzi na wasikilizaji kutoka kila upande.
 
Mwaka [[1576]] [[Papa Gregori XIII]] alimuita Roma afundishe hoja dhidi ya [[uzushi]], kama alivyofanya hadi mwaka [[1586]], Akiandika [[vitini]] ambavyo baadaye vikaunda kitabu “Controversiae” (“Mabishano”), ambacho kilisifiwa mara kwa [[utajiri]], [[uwazi]] na msingi wa kihistoria katika kutoa msimamo wa Kikatoliki juu ya [[Ufunuo]], [[Kanisa]], [[sakramenti]] na [[neema]]. Humo anasisitizaalisisitiza [[muundo wa Kanisa]], kama ilivyohitajiwa na [[hali]] tete ya [[imani]] wakati huo, asisahau [[roho]] yake inayohuisha kwa ndani muundo huo. Pia anakwepaalikwepa kushambulia [[UprotestantiWaprotestanti]], akikazia kutetea mafundisho ya Kanisa kwa [[hoja]] za [[akili]] na za [[mapokeo]].
 
[[Mtaguso wa Trento]] ulikuwa umemalizika tangu muda mrefumiaka, na Kanisa Katoliki lilikuwa bado na haja ya kujiimarisha kielimu na kiroho. Kazi ya Roberto iliingia moja kwa moja katika juhudi hizo za [[Urekebisho wa Kikatoliki]].
 
Kuanzia mwaka [[1588]], akiwa kiongozi wa kiroho wa [[Wajesuiti]] wanafunzi wa [[Collegio Romano]], alishirikiana na [[Papa Sixtus V]], ingawa huyo hakumpenda sana yeye wala shirika lake. Kati ya vijana aliowalea huko, maarufu zaidi ni [[Alois Gonzaga]], ambaye alifariki mwaka [[1591]] kutokana na [[tauni]] aliyoambukizwa na mtu aliyemuokota barabarani.
Mstari 36:
=== Ukardinali ===
 
Mwaka [[1597]] [[Papa Klementi VIII]] alimrudisha [[Roma]] kama mshauri wake katika masuala ya teolojia n.k.
 
Miaka ya 1597-[[1598]] alitunga [[katekisimu]] kubwa na ndogo, ambazo ziliathiriwa na [[mazingira]] ya mabishano kati ya [[madhehebu]] ya Kikristo, na kuenea sana hadi mwisho wa [[karne XIX]]. Mchango wake huo katika [[malezi]] ya vizazi vipya vya Kikatoliki ulimstahilia sifa ya mwalimu wa Kanisa.
 
Tarehe [[3 Machi]] [[1599]] Papa alimteua kuwa [[kardinali]] akieleza kwamba, ''"Kanisa la Mungu halina mwingine sawa naye katika elimu''". Bellarmino alijaribu kwa kila njia kumfanya Papa abadili [[uamuzi]], lakini mwishoni alilazimika kukubali. Pamoja na hayo, hakuacha maisha yake magumu, na mapato yakeya cheo hicho aliyaelekeza karibu yote kwa maskini.
 
Kama kardinali aliongoza [[idara]] mbalimbali za Papa na, baada ya kupewa [[uaskofu]] tarehe [[21 Aprili]] [[1602]], kuwaakawa [[Askofu mkuu]] wa [[dayosisi|jimbo]] la [[Capua]] ([[1602]]-[[1605]]), alipojitokeza kwa [[bidii]] yake ya kuhubiri katika [[kanisa kuu]], kwa kutembelea [[parokia]] kila [[wiki]], kwa [[sinodi]] 3 za jimbo alizoendesha na kwa kuanzisha [[mtaguso wa kanda]].
 
Alikuwa anajua kujilinganisha na watu wa kawaida, nao walifurahia [[usahili]] wa mtu [[msomi]] kiasi hicho.
 
Baada ya kushiriki [[uchaguzi]] wa [[Papa Leo XI]] na wa [[Papa Paulo V]], aliitwa tena Roma kushughulikia idara mbalimbali, lakini pia alitumwa kama [[balozi]] huko [[VeniceVenezia]] na [[Uingereza]] akatetee [[haki za Kanisa]].
 
[[Mzigo]] wa ma[[jukumu]] na [[ubovu]] wa mazingira havikumsahaulisha [[juhudi]] kwa ajili ya [[utakatifu]] aliodaiwa na [[hadhi]] yake kama [[mtawa]] na askofu, akimlenga [[Yesu]] ili kumjua, kumpenda na kumuiga kwa dhati. Kwake ilikuwa [[furaha]] kubwa kujikusanya kwa [[utulivu]] na [[unyofu]] asali na kumzingatia [[Mungu]].
 
Miaka ya mwisho alitunga vitabu mbalimbali kuhusu [[maisha ya Kiroho]] alipokusanya ma[[tunda]] ya [[mazoezi ya kiroho|mazoezi yake ya kiroho]] ya kila [[mwaka]], kama vile “Akili Kupanda kwa Mungu”, “Ufundi wa Kufa Vema” na “Mlio wa Njiwa”. Humo inajitokeza [[hisia]] yake kubwa ya [[wema]] usio na mipaka wa Mungu, ambaye alijisikia mwanae mpendwa.
 
“Ee roho, [[mfano]] wako ni Mungu, [[uzuri]] usio na mipaka, [[mwanga]] usio na [[kivuli]], [[uangavu]] unaopita ule wa [[mwezi]] na [[jua]]… Yeyote anayempata Mungu, amepata yote, yeyote anayemkosa Mungu amekosa yote”.