Teresa wa Mtoto Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Sainte therese de lisieux.jpg|tumb|right|200px|Teresa mwaka [[1895]].]]
'''Teresa wa Mtoto Yesu na wa Uso Mtakatifu''' ([[Alençon]], [[Ufaransa]], [[2 Januari]] [[1873]] - [[Lisieux]], Ufaransa, [[30 Septemba]] [[1897]]) ni jina la kitawa la '''Thérèse Françoise Marie Martin''', maarufu pia kwa jina lakama '''Teresa wa Lisieux''', anayeheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] mwenye sifa za [[bikira]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Akifurahia [[udogo]] wake, Teresa alijitokeza kama “[[mtaalamu]] wa [[elimu ya upendo]]” ([[Papa Yohane Paulo II]]), ambayokatika inajumlishamaandishi kweli zote za [[imani]]yake, hasa katika [[shajara]] zake alimosimulia kwa [[unyofu]] wa hali ya juu jinsi kwa [[neema]] alivyoelewa na kutekeleza [[Injili]] katika maisha yake yaliyofichika ndani ya [[monasteri]] ya [[Wakarmeli Peku]].
 
Tangu mwaka [[1927]] ni [[msimamizi]] wa [[wamisionari]] wote (pamoja na [[Fransisko Saveri]]), na tangu mwaka [[1944]] wa [[Ufaransa]] (pamoja na [[Yoana wa Arc]]).
Mstari 15:
Walipokuwa vijana wazazi wake walitaka kuingia utawani, wasiweze. Baada ya kuoana, maisha yao yote yaliongozwa na [[imani]] na [[maadili]] ya [[Ukristo]].
 
Teresa alipozaliwa, watoto 4 walikuwa wameshafariki, naye aliyumba sana kinafsi alipofiwa mama yake akiwa na umri wa miaka 4 tu. Hapo mjomba wake, Isidore Guerin, aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa mabinti watano walioachwa na [[marehemu]] ambao wote wakawa ma[[sista]] baadaye. Hivyo, tarehe [[15 Novemba]] [[1877]], Louis Martin alihamia Buissonnets, kitongoji cha [[Lisieux]], awe jirani na [[shemeji]] yake mwenye [[famasia]]. Huko Teresa alijenga uhusiano mkubwa na binamu yake Maria.
Teresa alipozaliwa, watoto 4 walikuwa wameshafariki.
 
Teresa aliyumba sana kinafsi alipofiwa mama yake akiwa na umri wa miaka 4 tu. Hapo mjomba wake, Isidore Guerin, aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa mabinti watano walioachwa na [[marehemu]] ambao wote wakawa ma[[sista]] baadaye. Hivyo, tarehe [[15 Novemba]] [[1877]], Louis Martin alihamia Buissonnets, kitongoji cha [[Lisieux]], awe jirani na [[shemeji]] yake mwenye [[famasia]]. Huko Teresa alijenga uhusiano mkubwa na binamu yake Maria.
 
Lakini uhusiano wa pekee hasa alikuwa nao kwa dada zake Paulina na Maria, akiwaona kama mama zake.
Line 25 ⟶ 23:
===Wito===
[[Picha:Teresa13anni.JPG|thumb|right|250px|Thérèse Martin alipokuwa na umri wa miaka 13 (Februari [[1886]]).]][[Picha:therese.jpg|250px|thumbnail|right|Teresa muda mfupi kabla ya kusafiri kwenda [[Italia]] ([[1887]]).]]
Mwaka 1882, Paulina alipoingia [[monasteri]] ya [[Wakarmeli]] ya Lisieux, Teresa angetaka kumfuata, lakini hakuweza kutokana na umri wake mdogo. Zaidi tena alitaka kufanya hivyo Maria pia alipoingia monasteri hiyohiyo mwaka [[1886]].
 
Usiku wa [[Noeli]] iliyofuata, alishinda moja kwa moja [[huzuni]] yake iliyomfanya alielie daima. Alielewa anahitaji kumtafuta [[Mungu]] kwa [[ukomavu]] zaidi na kujipatia hivyo "elimu ya upendo" ambayo inajumlisha kweli zote za [[imani]].
Mwenyewe aliita neema hiyo “[[wongofu]] kamili”, na tangu hapo alianza “kupiga [[mbio]] kama [[jitu]]”.
 
Line 35 ⟶ 33:
 
===Kuingia monasteri===
Wakati wa kurudi Ufaransa, [[askofu]] wake aliamua kubadilialibadili msimamo na kumruhusu. Hivyo tarehe 9 [[Aprili]] [[1888]] msichana Teresa alingiia [[Karmeli]] “ili kuokoa roho za watu na kuombea mapadri”, akiwa na miaka 15 tu. Ile tisa iliyofuata ikawa na [[maendeleo ya kiroho]] ya kasi ajabu.
 
Wakati huohuo baba yake alianza kusumbuliwa na ugonjwa wa akili uliomtia [[tabu]] na [[aibu]] sana. Huo ukawa sababu ya [[uchungu]] mwingi hata kwa [[binti]] yake mpendwa, ambaye lakini kwa [[njia]] hiyo alijaliwa kutazama [[uso wa Yesu]] katika [[mateso]] yake.
Line 54 ⟶ 52:
Mwezi [[Aprili]] [[1896]], alipatwa na [[TB]], ugonjwa uliokuja kumuua baada ya miezi 18. Mateso ya mwili yaliendana na yale ya ndani yanayojulikana kama "[[usiku wa roho]]" na ni [[jaribu]] kali la imani. Pamoja na Bikira Maria chini ya [[msalaba]] wa Mwanae, Teresa alifaulu kulishinda katika [[giza]] nene lilioenea ndani mwake. Alitambua kwamba alipaswa kupatwa na jaribu hilo kwa ajili ya wokovu wa [[wakana Mungu]] wote wa [[ulimwengu wa kisasa]], ambao aliwaita “[[ndugu]]”.
 
Alizidi vilevile kutekeleza [[upendo wa kidugu]]: kwa masista wa [[jumuia]] yake, kwa [[wamisionari]] wawili aliokabidhiwa awaombee, kwa mapadri na kwa watu wote, hasa wale wa mbali zaidi, akawa kweli [[dada]] wa wote. Upendo wake wa kuvutia ulitokeza [[furaha]] ya dhati ambayo mwenyewe alifichua [[siri]] yake: “Ee Yesu, furaha yangu ni kukupenda wewe”.
 
Katika hali hiyo ya mateso, akitekeleza upendo wa hali ya juu katika mambo madogo ya maisha ya kila siku, Teresa alitimiza [[wito]] wake wa kuwa upendo katika [[moyo]] wa mama [[Kanisa]].
 
Katika [[barua]] yake ya mwisho, aliandika hivi juu ya [[picha]] ya [[Mtoto Yesu]] iliyochorwa ndani ya [[Hostie]] takatifu: “Siwezi kumuogopa Mungu aliyejifanya mdogo hivi kwa ajili yangu! … Mimi nampenda! Kwa kuwa yeye ni Upendo na Huruma tu!”
Line 66 ⟶ 64:
“Mimi nahitaji kufungua tu Injili takatifu ili ninuse mara [[manukato]] ya maisha ya Yesu, na hapo nijue njia ambayo nipige mbio juu yake; nami nakimbilia nafasi ya mwisho, si ile ya kwanza… Nahisi kwamba hata kama [[dhamiri]] yangu ingelemewa na makosa yote ya [[jinai]] yanayoweza kufanyika… kwa moyo uliovunjika kwa uchungu ningejitupa mikononi mwa Yesu [[Mwokozi]] wangu, kwa sababu najua anampenda [[mwana mpotevu]]”.
 
Tarehe [[10 Julai]] [[1897]] udhaifu wa [[mwili]] ulimzuia asiendelee kuandika habari za maisha yake kama alivyoagizwa. Neno la mwisho aliloliandika katika sentensi isiyomalizika ni "upendo".
Alifariki tarehe [[30 Septemba]] 1897, mnamo saa 19:20, huku akitazama [[sanamu]] ya Msulubiwa aliyoishika mikononi na kusema, “Mungu wangu, nakupenda!”. Maneno hayo yalikuwa [[muhtasari]] wa maisha yake.
Line 74 ⟶ 72:
== Heshima baada ya kufa ==
[[Picha:Basilique de Lisieux.JPG|left|thumb|250px|Basilika la Lisieux, lenye eneo la 4500 m<sup>2</sup> na urefu wa mita 95, lililojengwa kwa heshima yake mwaka [[1937]].]]
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilitokea [[miujiza]] iliyopatikana kwa maombezi yake. Ni kama alivyosema, kuwa atamimina [[mvua]] ya ma[[waridi]] kutoka [[mbinguni]], akitumia [[uzima wa milele] kutenda mema mengi duniani.
 
[[Papa Pius XI]] alimtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[29 Aprili]] [[1923]], tena [[mtakatifu]] tarehe [[17 Mei]] [[1925]], na [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[19 Oktoba]] [[1997]] kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]].