Namba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Namba za Wamaya '''Namba''' ni dhana na lugha inayotumiwa kutofautisha idadi au kupima kiwango. Namba zinazojulikana zaidi ni zile...'
 
No edit summary
Mstari 6:
* '''0''' yaani [[sifuri]]
* [[namba hasi]] -1, -2, -3 ....
* [[namba kamili]] (integer) zinazojumlisha namba asilia, sifuri na namba hasi. Namba hizi huandkiwa kirahisi kwa kutumia [[tarakimu]] (numerali) yaani alama zinazoweza kuonyesha namba.
* [[namba wiano]] yaani kila namba inayoweza kuandikwa kwa umbo la sehemu kama vile <math>\tfrac{1}{2}</math> , <math>\tfrac{1}{3}</math> , <math>\tfrac{1}{10}</math> , <math>\tfrac{1}{25}</math> na kadhalika.
* [[namba zisizowiani]] (namba witiri) zisizolingana na sehemu, kwa mfano namba ya duara '''π''' ([[Pi]]) ambayo haiwezi kuandikwa kikamilifu.