Kappa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=kappa uc lc}} '''Kappa''' ni herufi ya kumi katika Alfabeti ya Kigiriki. Umbo la kappa kubwa na ndogo limeendelea v...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 19:21, 20 Septemba 2014
Kappa ni herufi ya kumi katika Alfabeti ya Kigiriki. Umbo la kappa kubwa na ndogo limeendelea vilevile katika alfabeti ya Kilatini na hivyo hutumiwa vile hadi leo katika lugha zote zinazotumia mwandishi huo kama vile Kiswahili, kiingereza na kadhalika. matamshi yake ni "K" sawa na Kiswahili.
Alfabeti ya Kigiriki | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Herufi za kawaida | |||||||
Α α Alfa | 1 | Ν ν Ni | 50 | ||||
Β β Beta | 2 | Ξ ξ Ksi | 60 | ||||
Γ γ Gamma | 3 | Ο ο Omikron | 70 | ||||
Δ δ Delta | 4 | Π π Pi | 80 | ||||
Ε ε Epsilon | 5 | Ρ ρ Rho | 100 | ||||
Ζ ζ Dzeta | 7 | Σ σ ς Sigma | 200 | ||||
Η η Eta | 8 | Τ τ Tau | 300 | ||||
Θ θ Theta | 9 | Υ υ Ipsilon | 400 | ||||
Ι ι Iota | 10 | Φ φ Phi | 500 | ||||
Κ κ Kappa | 20 | Χ χ Khi | 600 | ||||
Λλ Lambda | 30 | Ψ ψ Psi | 700 | ||||
Μ μ Mi | 40 | Ω ω Omega | 800 | ||||
Herufi za kihistoria1 | |||||||
Digamma | 6 | San | 90 | ||||
Stigma | 6 | Sho | 90 | ||||
Heta | 8 | Koppa | 90 | ||||
Sampi | 900 | ||||||
1 Viungo vya Nje: Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje |
Kwa matumizi ya tarakimu inamaanisha namba 20.
Kama neno lenye asili ya Kigiriki kimepokelewa katika lugha ya Kiingereza mara nyingi herufi "C" imechukua nafasi ya "K". Sababu yake ni ya kwamba Waroma waliandika "k" mara nyingi kama "c" katika Kilatini maana hawakutofautisha herufi hizi mbili.
Matumizi ya kisayansi
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na sayansi.