Mana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Mana ikikusanywa kadiri ya [[James Tissot.]] '''Mana'''(kwa Kiebrania מָ‏ן) ni cha...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tissot The Gathering of the Manna (color).jpg|thumb|250px|Mana ikikusanywa kadiri ya [[James Tissot]].]]
'''Mana'''(kwa [[Kiebrania]] מָ‏ן) ni [[chakula]] kilichotumiwa na [[Waisraeli]] walipotangatanga katika [[jangwa]] la [[Sinai]] miaka 40 mfululizo baada ya kutolewa na [[Musa]] nchini [[Misri]] walipokuwa wananyanyaswa.
 
Habari hizo zinapatikana katika vitabu vingi vya [[Biblia]] (hasa [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 16:1-36 na [[Hesabu (Biblia)|Hesabu]] 11:1-9) na katika [[Kurani]] 5:27.
 
Pamoja na maelezo mbalimbali yaliyotolewa na [[wataalamu]] kuhusu [[asili]] ya chakula hicho, kwa [[imani]] kilitazamwa kama [[ishara]] ya pekee ya [[Mungu]] kuwashughulikia watu wake.
 
[[Yesu]] alikitumia hicho pia kujitambulisha ni nani kwetu: "Mimi ndimi chakula cha kweli kilichoshuka kutoka mbinguni" ([[Yoh]] 6).
 
==Tanbihi==
{{reflist|3}}
 
==Marejeo==
*{{cite book|title=Mushrooms and Mankind: The Impact of Mushrooms on Human Consciousness and Religion|first=James|last=Arthur|publisher=Book Tree|location=Escondido, CA|year=2000|isbn=1-58509-151-0}}
*{{cite book|title=Magic Mushrooms in Religion and Alchemy|first=Clark|last=Heinrich|publisher=Park Street Press|location=Rochester, VT|year=2002|isbn=0-89281-997-9}}
*{{cite book|title=The Mystery of Manna: The Psychedelic Sacrament of the Bible|first=Dan|last=Merkur|publisher=Park Street Press|location=Rochester, VT|year=2000|isbn=0-89281-772-0}}
*{{cite book|title=Food of the Gods: The Search for the Original Tree of Knowledge, A Radical History of Plants, Drugs, and Human Evolution|first=Terence|last=McKenna|publisher=[[Bantam Books]]|location=New York, NY|year=1993|isbn=0-553-37130-4}}
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.jewishencyclopedia.com/view.jsp?artid=147&letter=M ''Jewish Encyclopedia''], Manna
*[http://www.chabad.org/search/keyword.asp?kid=2437 chabad.org], The Manna
*[http://www.newadvent.org/cathen/09604a.htm ''Catholic Encyclopedia''], Manna
*[http://www.stnicholascenter.org/Brix?pageID=42 Devotion and Use of the Manna of Saint Nicholas]
*[http://leda.lycaeum.org/?ID=10494 Lycaeum], Manna as a mushroom [psilocybe]
 
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Category:Ekaristi]]