Maana ya maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
MAISHA ni muunganiko wa vitu viwili
MAISHA ni muunganiko wa vitu viwili moja uhai pili shughuli za kiumbe hai. Hivyo tunapata maana ya maisha yana husisha Kiumbe hai na shughuli zake.
Mstari 11:
Limekuwa suala kuu la [[udadisi]] kwa [[sayansi]], [[falsafa]] na [[teolojia]] tangu zamani. Kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali ki[[itikadi]] na ki[[utamaduni]].
 
Maana ya maisha imechanganyikana kwa undani na [[dhana]] za [[falsafa]] na [[imani]] za [[dini]] na hugusia masualamas
<gallery>
== Example.jpg|Maelezo mafupi 1
Example.jpg|Maelezo mafupi 2 ==
</gallery>
uala mengine mengi, kama vile [[ontolojia]], [[tunu]], [[kusudi]], [[maadili]], [[hiari]], uwepo wa [[Mungu]], [[roho]], na kinachoendelea baada ya maisha haya.
 
Michango ya sayansi kawaida ni ya moja kwa moja na inaeleza [[uhalisia]] kutokana na mambo yanayopimika kuhusu [[ulimwengu]]; sayansi inatoa [[muktadha]] na mipaka kwa mazungumzo kuhusu [[mada]] zinazohusika.