Tofauti kati ya marekesbisho "Kanuni ya Imani"

211 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Picha takatifu ikimuonyesha Konstantino Mkuu (katikati) na wajumbe wa Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325) wakishika Kan...')
 
Katika [[Ukristo]] ni maarufu hasa [[Kanuni ya Imani ya Nisea Konstantinopoli]], iliyotungwa mwaka [[325]] katika [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na kukamilishwa mwaka [[381]] katika [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]]. Ndiyo ya kwanza katika ya [[Mitaguso ya kiekumene]]. Msingi wa fomula hiyo ni [[Agano Jipya]] lilivyoeleweka kwa kawaida na ma[[askofu]] wa [[Kanisa]] wa [[karne ya 4]], ambayo ni muhimu sana katika [[ufafanuzi]] wa [[imani]] uliofanywa na ma[[babu wa Kanisa]]. Karibu [[madhehebu]] yote ya Ukristo yanakubali hadi leo kanuni hiyo.<ref>[http://www.spurgeon.org/~phil/creeds/nicene.htm Johnson, Phillip R. "The Nicene Creed."] Accessed 17 May 2009</ref>
 
Pamoja nayo inakubalika sana [[Kanuni ya Imani ya Mitume]] iliyotokea [[Roma]] katika maadhimisho ya [[liturujia]], hasa [[ubatizo]].
 
Kabla ya hizo kutungwa, katika [[Barua ya kwanza kwa Wakorintho]] (15:3-7) [[Mtume Paulo]] aliandika aina ya kanuni ya imani ambayo mwenyewe aliikuta alipoongokea Ukristo akaieneza katika [[uinjilishaji]] wake.
 
==Katika Uislamu==