Uzuri : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Anga katika [[Atacama Desert. Uzuri wa uasilia umekuwa mara nyingi kichocheo cha usanii wa binadamu....' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Striking Night Sky.jpg|thumb|
[[File:Kelly, Grace (Rear Window).jpg|200px|right|thumb|[[Grace Kelly]]. Sura ya binadamu inaweza kuwa na uzuri mkubwa.]]
[[File:Jade ornament with grape design.jpg|thumb|Pambo la maua, [[Jin Dynasty]] ([[1115]]–[[1234]] [[BK]]), [[Shanghai]], [[China]].]]
[[File:Rozeta Paryż notre-dame chalger.jpg|thumb|
[[File:Cupola di santa maria del fiore dal campanile di giotto, 02.JPG|thumb|upright|[[
'''Uzuri''' ni [[sifa]] ya [[nafsi]], [[mnyama]], [[mahali]], [[
Kimsingi, kwa wanaomuamini [[Mungu]], ni sifa yake ambayo inajumlisha zile za [[umoja]], [[ukweli]] na [[wema]], na kujitokeza katika [[utakatifu]] wa watu wake.
Uzuri unachunguzwa na [[falsafa]], [[sosholojia]], [[saikolojia]] n.k. na kulengwa na [[binadamu]] tangu zamani za kale, hasa kwa njia ya [[sanaa]] za aina mbalimbali.▼
▲
Pengine uzuri unategemea [[utamaduni]], lakini mara nyingi unapendeza watu wote.
|