Plutoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{elementi | rangi = #ff99cc | jina = Plutoni (plutonium) | picha = Pu,94.jpg | maelezo_ya_picha = kipande duara c...'
 
No edit summary
Mstari 25:
 
== Umuhimu wa kiuchumi ==
Inatokea mara kwa mara kwa kuchoma urani katika [[tanuri nyuklia]]. Hivyo inasafishwa na kurudishwa kama fueli katika aina tofauti za matanuri ya nyuklia.
 
Matatizo yake ni ya kwamba unururifu wake mkali na hivyo hatari ya kuishughulikia katika matumizi. Viwango vidogo sana vya plutoni vinaweza kusababisha [[kansa]] kama elementi hii inaingia mwilini kama vumbi au katika chakula. Baada ya kuzalishwa Plutoni inaendelea kuwa nururifu kwa muda mrefu na hivyo takataka ya kinyuklia yenye plutoni inahitaji kutunzwa mbali na watu kwa vipindi wa miaka maelfu hata ma kumi-elfu.