Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnururisho''' ni uenezaji wa [[nishati]] kwa njia ya vyembe vidogo sana au kwa njia ya mawimbi. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi.
 
Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni nuru na joto. Binadamu ana [[milango ya fahamu]] kwa ajili mnurursho huo kama vile macho kwa nuru na neva kenye ngozi kwa joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa [[sumakuumeme]] katika [[redio]] na [[TV]], [[eksirei]] au kinyuklia. Kuna viumbe vyenye milango ya fahamu kwa minururisho mingine, kwa mfano samaki au ndege zinazotambua uga za umeme au sumaku.
 
== Tabia za mnururisho ==