Tofauti kati ya marekesbisho "Babu wa Kanisa"

1,724 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 43 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q182603 (translate me))
[[File:Otsy.jpg|thumb|350px|''Mababu wa Kanisa'', [[mchoro mdogo]] wa [[karne ya 11]] kutoka [[Kiev]], [[Ukraina]].]]
'''Babu wa Kanisa''' ni jina la heshima ambalo kuanzia [[karne IV]] [[Kanisa Katoliki]] limewapatia Wakristo wa kale (hadi mwaka 750 hivi), wenye [[utakatifu]], [[elimu]] na [[imani]] sahihi, ambao mafundisho yao yanawezesha kujua [[mapokeo ya Mitume]].
 
Orodha ya kwanza ya mababu wa Kanisa iliandikwa katika [[Hati ya Gelasi]] ([[karne VI]]); baadhi yao waliongezewa jina la [[Mwalimu wa Kanisa]].
 
Muhimu zaidi upande wa Mashariki ni: [[Atanasi]], [[Basili Mkuu]], [[Gregori wa Nazienzi]] na [[Yohane Krisostomo]]. Upande wa Magharibi ni: [[Ambrosi]], [[Agostino wa Hippo]], [[Jeromu]] na [[Papa Gregori I]].
 
Upande wa Magharibi ni: [[Ambrosi]], [[Agostino wa Hippo]], [[Jeromu]] na [[Papa Gregori I]].
==Viungo vya nje==
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.newadvent.org/fathers/ Maandishi ya Mababu wa Kanisa kwa [[Kiingereza]]]
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/25_20_25-_Rerum_Conspectus_Pro_Auctoribus_Ordinatus.html Maandishi ya [[Kigiriki]]]
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/25_10_MPL.html Maandishi ya [[Kilatini]]]
*[http://www.churchfathers.org ChurchFathers.org] - Madondoo ya Mababu yaliyopangwa kwa mada
*[http://www.ccel.org/fathers.html Church Fathers' works in English] toleo la [[Philip Schaff]] katika [[Christian Classics Ethereal Library]]
*[http://www.seanmultimedia.com/Pie_homepage.html Church Fathers at the Patristics In English Project Site]
*[http://www.tertullian.org/fathers/ Early Church Fathers Additional Texts] Sehemu ya maandishi ya [[Tertuliani]].
*[http://victorcauchi.fortunecity.com/christwrit/defensor.htm Excerpts from Defensor Grammaticus]
*[http://victorcauchi.fortunecity.com/christwrit/otherfathers.htm Excerpts from the Church Fathers]
*[http://tcrnews2.com/vonbalthasarfathers.html The Fathers, the Scholastics, and Ourselves by von Balthasar]
*[http://www.faulkner.edu/academics/artsandsciences/humanities/patristics.asp Faulkner University Patristics Project] A growing collection of English translations of patristic texts and high-resolution scans from the comprehensive ''Patrologia'' compiled by J. P. Migne.
*[http://www.cin.org/users/jgallegos/cfathers.htm Primer on the Church Fathers at Corunum]
*[http://www.biblestudytools.com/history/early-church-fathers/ Early Church Fathers Writings]
*[http://www.goarch.org/en/ourfaith/articles/article8074.asp Writings from the church fathers at www.goarch.com.]
*[http://www.orthodox.cn/patristics/frchurchnewtrans_en.htm The Fathers of the Church: A New Translation] toleo la Ludwig Schopp katika [[Internet Archive]]
*[http://earlyfathers.com/ Early Church Fathers: History of the Early Church in Portraits]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Category:Mababu wa Kanisa]]
[[categoryCategory:UkristoTeolojia]]
[[Category:Historia ya Ukristo]]