107,251
edits
(Tengua pitio 929581 lililoandikwa na Riccardo Riccioni (Majadiliano)) |
(Tengua pitio 933849 lililoandikwa na 84.189.144.80 (Majadiliano)) |
||
[[Picha:John F. Kennedy, White House color photo portrait.jpg|thumb|right|John F. Kennedy]]
'''John Fitzgerald Kennedy''' ([[29 Mei]] [[1917]] – [[22 Novemba]] [[1963]]) alikuwa [[Rais]] wa [[Marekani]] kuanzia mwaka [[1961]] hadi alipouawa.
==Maisha==
Alikuwa [[mtoto]] wa pili katika [[familia]] ya watoto 9. [[Baba]] yake alikuwa [[mfanyabiashara]] maarufu wa [[ukoo]] wenye asili ya [[Ueire|Kiirish]].
[[Vita Kuu ya Pili]] ilipoanza alijiunga na [[jeshi la wanamaji]]. Mwaka [[1943]] alijeruhiwa katika [[shambulio]] lililofanywa na [[ndege za kivita]] za [[Japani]].
("Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".)▼
Mwaka [[1947]] alianza kujiingiza katika [[siasa]] na mwaka [[1960]] alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Ni rais pekee muumini wa [[Kanisa Katoliki]] katika [[historia]] ya nchi hiyo.
Aliuawa kwa kupigwa [[risasi]] tarehe 22 Novemba 1963, akiacha [[mke]] na watoto wawili.
Atakumbukwa kwa kutetea [[haki]] za watu wote bila kujali rangi yao.
▲Kati ya mengine alisema "Ask not what you can do for your country; ask what your country can do for you." ("Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini, bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".)
== Viungo vya nje ==
|