Dionysius Mwareopago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|[[Picha takatifu ya Mt. Dionysius kutoka Ugiriki.]] '''Dionysius Mwareopago''' (kwa Kigiriki Διονύσ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:34, 28 Septemba 2014

Dionysius Mwareopago (kwa Kigiriki Διονύσιος ὁ Ἀρεοπαγίτης) aliishi Athene, Ugiriki, katika karne ya 1.

Picha takatifu ya Mt. Dionysius kutoka Ugiriki.

Umaarufu wake umetokana na Mdo 17:34 kusimulia kwamba alikuwa kati ya wachache waliosadiki hotuba aliyoitoa Mtume Paulo katika Areopago kuhusu Kristo na ufufuko.

Mapokeo yanasema akawa askofu wa kwanza wa Athene.[1]

Umaarufu uliongezeka baada ya mtu asiyejulikana kutoka Siria kuandika vitabu mbalimbali akitumia jina la Dyonisius huyo mwanzoni mwa karne ya 6.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Tanbihi

  1. Eusebius, Historia Ecclesiae III: iv

Marejeo

  • Owen Gingerich, The Book Nobody Read, Penguin Books, 2004, pp. 190–191

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dionysius Mwareopago kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.