Risasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza es:Ojiva (estadística)
Mstari 4:
 
==Risasi katika historia==
Zamani risasi zilitengenezwa kwa kwa kutumia risasi[[plumbi]] pekee. Bunduki za zamani kama [[gobori]] ziliweza kurusha hata vipande vya mawe au vipande vidogo vya metali yoyote. Risasi ilipendezwa kutokana na uzito wake ulioipeleka mbali zaidi na kwa nguvu zaidi; pia ni metali inayoyeyushwa kirahisi kwa kutumia joto kidogo kuliko metali nyingine.
 
Hivyo askari mwenye gobori alitengeneza risasi kwa ajili ya bunduki yake kabla ya kila mapigano. Kwa kazi hii askari alikuwa na kifaa alimomwaga risasi iliyoyeyuka ikatoka kwa umbo la [[tufe]]. Alibeba [[baruti]] yake katika chupa, kumwaga kiasi cha baruti katika silaha, kuongeza risasi juu yake na kukandamiza yote kwa fimbo ndefu ndani ya [[kasiba]] ya silaha, halafu kuipashia moto kupitia shimo ndogo kando la kasiba.
 
Baadaye risasi ilifungwazilifungwa katika karatasi pamoja na kiasi cha baruti kwa kila matumizi ya silaha. HiHii ilikuwa [[ramia]] ya kwanza na askari alipaswa kufungua ramia kwa meno yake, kumwaga baruti katika bunduki na kuongeza risasi juu yake.
 
Katika karne ya 19 muundo wa bunduki imebadilika na kasiba imepata mifuo ndano yake kwa mwendo wa [[sukurubu]] iliipa risasi mwendo wa kuzunguka na kuongeza ukamilifu wa kupiga shabaha. Sasa ramia zilizotengenezwa kiwandani zilikuwa za metali hasa shaba na risasi ilibanwa kwenye kichwa cha ramia. Baruti ilifyatuliwailiwaka kwa pigo la sindano ya silaha na risasi ilirushwa nje.
 
==Risasi za kisasa==