Boroni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 117 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q618 (translate me)
No edit summary
Mstari 26:
 
== Matumizi kiteknolojia ==
Matumizi ya boroni ni katika teknolojia ya kihami na katika madawa ya kupausha au kung'arisha. Inatumiwa pia kama nyongeza katika aloy kwa ajili ya sehemu za eropleni zinazotakiwa imara ma nyepesi. Kwa teknolojia ya kinyuklia hutumiwa kama kinga dhidi ya nyutroni katika [[matanuri ya nyuklia]].
 
== Nafasi ya kibiolojia ==