Content deleted Content added
d boresha ukurasa wangu.
d Boresha ukurasa wangu.
Mstari 3:
Bado, mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili tu. Ninaendelea kudurusu Kiswahili kwa kusoma kurasa za Wikipedia ya Kiswahili. Mara nyingi, naona makosa ya tahajia katika kurasa hizo kwa sababu hakuna njia kutumia kompyuta kuangalia tahajia ya Kiswahili. Kwa hiyo, nimefanya maharirio mengi madogo katika kurasa hizo kuzisahihisha.
 
Ninajaribu kufanya maharirio tu nikiwa na uhakika kabisa kwamba tahajia ya sasa ni kosefu. Sifanyi maharirio ya sarufi kwa sababu sina uhakika kwamba ninaweza kuyafanya kwa usahihi. Nikifanya haririo kosefu, nitaomba sana msamaha!
 
Ukiona haririo nililofanya kwa makosa, tafadhali niambie mara moja.