Kanisa la Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:BranchesofChristianityChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
'''Kanisa la Magharibi''' (au '''Ukristo wa Magharibi''') linajumlisha [[Kanisa la Kilatini]] na [[madhehebu]] mengine yaliyotokea upande wa [[magharibi]] wa [[Bahari ya Kati]] yakiwa na mwelekeo tofauti na ile ya [[Makanisa ya Mashariki]].