Ilungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
→‎Marejeo: Julius Moses Zellah
Mstari 19:
}}
 
'''Ilungu''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 10,364 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040320095130/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|archivedate=2004-03-20}}</ref> Kata ya Ilungu ina jumla ya vijiji 8. Vijiji hivyo ni Ifupa, Kikondo, Mashese, Mwela, Ngole, Shango, Nyalwela na Nzumba. Makao makuu ya kata ya Ilungu ni Ifupa.
==Marejeo==
{{marejeo}}