Kifaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Rekebisha viunganishi vilivyovunjika
d Badilisha herufi moja
Mstari 19:
'''Vifaru''' au '''faru''' ni wanyamapori wakubwa wa familia [[Rhinocerotidae]]. Spishi wawili kati ya hawa wanapatikana Afrika na wengine watatu huko Asia. Huko India wamebaki faru 2700 tu na hata faru weupe nao wameadimika sana duniani.
 
Faru hufahamika sana kwa umbo lake kubwa (ni miongoni mwa wanyama wakubwa sana walao nyasi waliobakia); huku kila spishi ya faru ikikaribia kuwa na uzito wa tani moja na ngozi ngumu ya kujilinda, yenye unene wa sentimeta 1.5 – 5.0; ubongo mdogo wa mamalia (gramu 400 - 600) na pembe kubwa. Wao hula sana majani. Faru wa Afrika hukosa meno ya mbele na kutegemea zaidi magego katika kusaga chakula.
 
Faru huthaminiwa sana kutokana na pembe zao. Pembe hizo zimetengenezwa kwa keratini, protini, sawa na ile inayopatikana kwenye nywele na kucha.<ref>{{cite web|url=http://www.sciencedaily.com/releases/2006/11/061106144951.htm |title=Scientists Crack Rhino Horn Riddle? |publisher=Ohio University |date=11 November 2006 |accessdate=15 October 2014}}</ref>