Tungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tungo''' ni neno au nomino inayotokana na kitenzi "tunga". Kutunga ni kuweka/kushikaminisha vitu pamoja kwa kutumia kitu kama kamba au uzi kwa kupitishia nda...'
 
d Rekebisha tahajia tu.
Mstari 1:
'''Tungo''' ni neno au nomino inayotokana na kitenzi "tunga". Kutunga ni kuweka/kushikaminishakushikamanisha vitu pamoja kwa kutumia kitu kama kamba au uzi kwa kupitishia ndani yake. Kwa mfano, unaweza kutunga vitu kama samaki, shanga, simbi, na kadhalika. Unaposhikamanisha vitu pamoja tunapata kitu kinachoitwa utungo/mmoja au tungo (nyingi).
==Uchambuzi==
Katika taaluma ya lugha (sarufi) tuna dhana hiyohiyo ya kuweka/kushikamanisha vitu pamoja, yaani, kupanga/kuweka pamoja vipashio vya lugha ili kujenga kipashio kikubwa zaidi.
Mstari 5:
Tungo ni mpangilio wa maneno unaotoa taarifa fulani. Taarifa hiyo inaweza kuwa kamili au la. Lakini lazima kuwe na mpangilio kamili katika muundo mzima wa kisarufi.
==Aina za tungo==
UanishajiUainishaji wa tungo umejikita katika vigezo mbalimbali kutegemeana na matakwa ya mwainishaji. Baadhi ya vigezo vinawezatumikavinaweza kutumika kwa kuanishakuainisha aina za tungo nazo ni:
 
#[[Kigezo cha viwango]]