Uthai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 189 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q869 (translate me)
No edit summary
Mstari 53:
 
Wathai walio wengi hufuata dini la [[Ubuddha]]. Katika kusini mpakana ni Malaysia kuna [[Uislamu|Waislamu]].
 
Nchini Uthai kuna lugha za asili 73 (angalia [[orodha ya lugha za Uthai]]).
 
Tangu [[19 Septemba]] [[2006]] nchi imetawaliwa na kamati ya jeshi. Jeshi ilipindua serikali ya waziri mkuu [[Thaksin Shinawatra]] bila kumwaga damu. Viongozi wa kijeshi walipatana na mfalme ya kwamba wataandaa uchaguzi mpya.