Bwana wa Mapete : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Vitabu bora 100 vya gazeti Le Monde
d Nimefuta neno la "semhemu" nikatia "juzu" badala yake.
Mstari 1:
'''Bwana wa Mapete''' ni kitabu cha [[bunilizi ya kinjozi]] kilichoandikwa na [[J.R.R. Tolkien]]. Kwa asili, Tolkien aliiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha ''[[Mhobiti (kitabu)|Mhobiti]]'' kilichokuwa kimetolewa mwaka wa [[1937]]. Ila ''Bwana wa Mapete'' ikaendelea kuwa [[riwaya]] kubwa katika sehemujuzu tatu. Tolkien aliiandika kati ya miaka ya 1937 na 1949, hasa wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Hatimaye sehemu hizo tatu zilitolewa kama vitabu vitatu kuanzia 1954 hadi 1955. Tangu kutolewa, ''Bwana wa Mapete'' imetafsiriwa katika lugha nyingi na imekuwa kitabu muhimu katika fasihi ya karne ya 20.
 
Kichwa cha kitabu hicho chamrejea mpinzani wa hadithi aitwaye [[Sauron]]; yeye alikuwa ameumba [[Pete Kuu]] ili kutawala [[Dunia ya Kati]] nzima. Hadithi ya kitabu yasimulia jinsi mashujaa wanavyompigania Sauron vita. Baadhi ya mashujaa hasa ni [[mhobiti|wahobiti]] wanne: [[Frodo Baggins]], [[Samwise Gamgee]] (''Sam''), [[Meriadoc Brandybuck]] (''Merry'') na [[Peregrin Took]] (''Pippin'').