Tofauti kati ya marekesbisho "Mpira wa kikapu"

4 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Mpira wa kikapu {{Sports}} '''Mpira wa kikapu''' ni mchezo unaopendwa katika sehemu nyingi za dunia. Mara nyingi mchezo...')
 
[[File:Basketball.jpeg|thumb|right|Mpira wa kikapu]]
{{Sports}}
'''Mpira wa kikapu''' ni aina ya [[mchezomichezo]] unaopendwainayopendwa katika sehemu nyingi za dunia. Mara nyingi mchezo hufanywa ukumbini wakati timu bili za wachezaji wanajaribu kutupa mpira katika kikapu cha timu nyingine. Vikapu viko mwishoni upande mwembamba wa uwanja kwa urefu wa mita 3.05.
 
Kila timu huwa na wachezaji 5 uwanjani na hadi wachezaji wa kando 7 walio tayari kuchukua nafasi ya mchezaji wingine muda wowote. Kila goli katika kikapu cha upande mwingine inahesabiwa kama pointi 2 au 3a kutegemeana na umbali wa kurusha. Goli ya penalti huleta pointi 1.