Bunilizi ya kinjozi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 56 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q132311 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Bunilizi ya kinjozi''' (au bunilizi ya kifantasia) ni [[utanzu]] fulani wa [[fasihi andishi]]. Katika
Mifano ya bunilizi ya ki[[njozi]] katika [[fasihi]] ya [[Kiingereza]] ni: "A Midsummer Night's Dream" (''[[Ndoto ya Usiku Mmoja]]'') ya [[William Shakespeare]], "Gulliver's Travels" (''[[Safari za Guliveri]]'') ya [[Jonathan Swift]], na "The Lord of the Rings" (''[[Bwana wa Mapete]]'') ya [[J.R.R. Tolkien]].
Bunilizi ya kinjozi hutofautishwa na [[bunilizi ya kisayansi]] kwa vile haisifu mambo ya teknolojia bali inatumia maajabu na viumbe vya [[kisasili|visasili]].▼
▲Bunilizi ya kinjozi hutofautishwa na [[bunilizi ya kisayansi]] kwa vile haisifu mambo ya [[teknolojia]] bali inatumia
== Marejeo ==
* Wamitila, K.W. 2003. ''Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia'', Nairobi: Focus Books.
[[Jamii:Fasihi]]
|