Mpira wa kikapu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Basketball.jpeg|thumb|right|Mpira wa kikapu]]
{{
'''Mpira wa kikapu''' ni aina ya [[michezo]] inayopendwa katika sehemu nyingi za [[dunia
Mara nyingi hufanywa [[ukumbi]]ni wakati [[timu]] mbili za wachezaji wanajaribu kuingiza [[mpira]] katika [[kikapu]] cha timu nyingine.
Kila timu huwa na wachezaji 5 uwanjani na hadi wachezaji wa kando 7 walio tayari kuchukua nafasi ya mchezaji wingine muda wowote. Kila goli katika kikapu cha upande mwingine inahesabiwa kama pointi 2 au 3a kutegemeana na umbali wa kurusha. Goli ya penalti huleta pointi 1.▼
Vikapu viko mwishoni upande mwembamba wa [[uwanja]] kwa [[urefu]] wa [[mita]] 3.05.
▲Kila timu huwa na wachezaji 5 uwanjani na hadi wachezaji wa kando 7 walio tayari kuchukua nafasi ya mchezaji
Kila [[goli]] katika kikapu cha upande mwingine linahesabiwa kama [[pointi]] 2 au 3, kutegemeana na [[umbali]] wa kurusha. Goli la [[penalti]] huleta pointi 1 tu.
==Historia==
[[Mchezo]] huu ulianzishwa
Mpira wa kikapu ulienea haraka kwenye vyuo vya [[Marekani]], katika [[karne ya 20]] pia nje ya
Mwaka [[1936]] mchezo huu ulikubaliwa kwenye [[michezo ya olimpiki]].
Hadi leo ligi muhimu zaidi duniani ni [[Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani]].▼
▲Hadi leo ligi muhimu zaidi duniani ni ile ya [[Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani]].
[[Picha:Uwanja wa mpira wa kikapu.jpg|thumbnail|350px|Vipimo vya uwanja wa mpira wa kikapu]]
==Kanuni za mpira wa kikapu==
[[Shabaha]] ya
Mpira unaotumiwa kimataifa ni [[mpira wa ngozi]] au [[mata]] [[sintetiki]]
Uwanja huwa na vipimo vya mita 28 kwa 15.
Wakati wa mchezo kuna
==Viungo vya Nje==
{{commonscat}}▼
* [http://www.fiba.com FIBA], Fédération Internationale de Basketball / International Basketball Federation
* [http://www.iwbf.org IWBF], International Wheelchair Basketball Federation
[[Category:Michezo]]▼
{{wikt}}
▲[[Category:Michezo]]
▲{{commonscat}}
|