Tofauti kati ya marekesbisho "Mpira wa kikapu"

15 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
==Historia==
[[Mchezo]] huu ulianzishwa na [[mwalimu]] [[James Naismith]] kwenye [[chuo]] cha Springfield College huko [[Massachusetts]] mwaka [[1891]]. Alibuni mchezo huo kwa ajili ya wanafunzi wake ili wapate ma[[zoezi]] wakati wa [[kipupwe]] waliposhindwa kucheza nje.
 
Mpira wa kikapu ulienea haraka kwenye vyuo vya [[Marekani]], katika [[karne ya 20]] pia nje ya vyuo.