Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 152 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q349 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:20071103 Khalid Khannouchi.jpg|thumb|200px|Mashindano ya mbio]]
'''Michezo''' ni [[amali]] au mazoezima[[zoezi]] ya kimwili ambayo mara nyingi yana upande wa mashindano ndani yao. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika [[jamii]]. Kuna pia michezo inayotumia vifaa kama vile [[mpira]], [[silaha]], [[baisikeli]], mabotima[[boti]] n.k.
 
Mifano ya michezo ni [[mpira wa miguu]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea na kadhalika. Michezo mingi hutekelezwa kama mashindano ya makundi. Aina nyingine ni mashindano ya watu mmoja-mmojammojammoja.
 
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao kikazi na kwa malipo.
 
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, makabila au mataifa. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]].
 
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, makabilama[[kabila]] au mataifama[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]].
{{michezo}}
[[Jamii:Michezo|*]]