Sanaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 13 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3240217 (translate me)
kuboresha makala
Mstari 1:
[[Image:MonaLisa sfumato.jpeg|right|thumb|280px|Sehemu ya ''[[La Gioconda]], mchoro wa [[Leonardo da Vinci]] unaotunzwa huko [[Paris]]([[Ufaransa]])]]
 
'''Sanaa''' ni ufundi unaoutumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake. Vilevile sanaa ni uzuri unaojiibua katika umbo lililosanifiwa. Kusanifu ni kuumba, kufanya jambo au kitu kwa kutumia ufundi/ustadi ili kiweze kuvutia watu kwa uzuri wake. Mtu hueleza hisia zinazomgusa kwa kutumia umbo fulani ambalo limesanifiwa. Hivyo kazi yoyote ya sanaa inategemewa ioneshe ufundi wa hali ya juu ili iwe na mvuto kwa hadhira yake. Tunaweza kuona kazi ya sanaa kupitia [[uchoraji]], [[utarizi]], [[ususi]], [[fasihi]], na kadhalika. Kila umbo huwa na nyenzo zinazotumika katika kuliumba umbo hilo. Kwa mfano katika [[uchongaji]] kuna [[mti]] ([[gogo]]), [[panga]], [[tezo]], [[msasa]], [[rangi]], na kadhalika.
'''Sanaa''' ni [[usanii]] wowote, yaani utendaji wa binafsi au wa pamoja ambao, kwa kutumia vipaji vya kuzaliwa navyo au mbinu zinazotokana na mang'amuzi na masomo, unabuni na kuleta uzuri. Sanaa imegawanyika sehemu nyingi: k.mf. [[muziki]], [[uigizaji]], [[uchezaji]], [[uchoraji]], [[upigaji picha]], [[sinema]], [[ushonaji]], [[uhariri]], [[uchongaji]], [[uandishi]], [[ushairi]] n.k.
==Aina za sanaa==
Hizi ni baadhi tu ya aina ya sanaa:
*[[Uchongaji]]
*[[Ususi]]
*[[Fasihi]]
*[[Muziki]]
*[[Utarizi]]
*[[Maonesho]]
*[[Ufumaji]]
*[[Uchoraji]] na,
*[[Ufinyanzi]]
 
==Viungo vya Nje==
* {{cite encyclopedia |last1=Cowan |first1=Tyler |authorlink=Tyler Cowan |editor= [[David R. Henderson]] (ed.) |encyclopedia=[[Concise Encyclopedia of Economics]] |title=Arts |url=http://www.econlib.org/library/Enc/Arts.html |year=2008 |edition= 2nd |publisher=[[Library of Economics and Liberty]] |location=Indianapolis |isbn=978-0865976658 |oclc=237794267}} – A look at how general economic principles govern the arts.
 
{{lango|{{PAGENAME}}}}
{{mbegu-utamaduni}}