Anonymous user
Bwana wa Mapete : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
'''Bwana wa Mapete''' ni [[kichwa]] cha [[kitabu]] cha [[bunilizi ya kinjozi]] kilichoandikwa na [[J.R.R. Tolkien]].
Kwa asili, Tolkien alikiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha ''[[Mhobiti (kitabu)|Mhobiti]]'' kilichokuwa kimetolewa mwaka [[1937]]. Ila ''Bwana wa Mapete'' ikaendelea kuwa [[riwaya]] kubwa katika juzuu tatu. Tolkien aliiandika kati ya miaka [[1937]] na [[1949]], hasa wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Hatimaye
Tangu kutolewa, ''Bwana wa Mapete'' imetafsiriwa katika [[lugha]] nyingi na imekuwa kitabu muhimu katika [[fasihi]] ya [[karne ya 20]].
|