Tofauti kati ya marekesbisho "Mashindano ya baiskeli"

80 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mashindano ya baiskeli''' ni mchezo maarufu katika nchi nyingi duniani unaofanyika kwa namna mbalimbali: kwa siku moja tu au kwa siku kadhaa mfululizo, k...')
 
No edit summary
[[File:Vélocourse.jpg|thumb|right|Mashindano ya [[Tro-Bro Léon]], [[2009]].]]
'''Mashindano ya baiskeli''' ni [[mchezo]] maarufu katika nchi nyingi duniani unaofanyika kwa namna mbalimbali: kwa siku moja tu au kwa siku kadhaa mfululizo, kwa mtu mmojammoja au kwa vikundi, katika [[barabara]] za kawaida, katika njia za mashambani au katika [[uwanja]] maalumu, n.k.