Tofauti kati ya marekesbisho "Michezo ya Olimpiki"

no edit summary
d (Robot: ca:Jocs Olímpics is a featured article; cosmetic changes)
No edit summary
 
 
'''Michezo ya Olimpiki''' ni mashindano makubwa ya michezo makubwambalimbali duniani inayofanyika kila baada ya miaka minne.
 
Michezo ya Olimpiki imekuwa na [[historia]] ndefu katika vipindi viwili:
 
* [[Michezo ya Olimpiki ya Kale]] ilifanyika tangu tarehe isiyojulikana lakini kwa uhakika kuanzia mwaka [[776 KK]] hadi mwaka [[393 BK]] katika [[mtaa]] wa mahekaluma[[hekalu]] wa [[Olimpia]] kwenye [[rasi]] ya [[Peloponesi]] nchini [[Ugiriki]].
 
* '''[[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa]]''' ya kwanza ilitokea mwaka [[1896]] mjini [[Athens]] (Ugiriki). Mwanzishilishaji[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Mfaransa]] [[Pierre de Coubertin]] alitakaaliyetaka kutumia kielelezo cha michezo ya kale kwa kujenga [[uhusiano]] mzuri kati ya [[vijana]] wa nchi mbalimbali na kuwapatia nafasi ya kushindana kwenye [[uwanja wa michezo]] badala ya uwanja wa [[vita]]. Coubertin alianzisha [[Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki]] (International Olympic Committee - IOC).
 
Michezo hii ya kisasa imeendelea kila baada ya miaka minne isipokuwa [[1916]], [[1940]] na [[1944]] kwa sababu ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] na [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|ya Pili ya Dunia]].
 
Michezo ya kisasa hufanyika katika mji mwinginetofauti kila safari. Michezo ya [[2004]] ilifanyika [[Athens]], ya [[2008]] huko [[Beijing]] na ya [[2012]] itafanyika [[London]].
 
Kuna tofauti kati ya michezo ya [[kiangazi]] na michezo ya [[majira ya baridi]].
 
Washindi watatu wa kwanza wa kila mashindano hupewa [[medali]] ya [[dhahabu]], [[fedha]] au shabha[[shaba]].
 
== Pete olimpiki ==
[[Pete]] tano uzaza olimpikiOlimpiki ni [[alama]] na [[nembo]] ya michezo tangu mwaka [[1913]]. Pete tano zenye rangiirangi tofauti humaanisha mabarama[[bara]] matano. Zote zinashikamana kumaanisha ushirikiano wa kimataifa.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.olympic.org/ Tovuti rasmi ya Michezo ya Olimpiki]
{{mbegu-michezo}}
 
{{michezo}}
[[Jamii:Olimpiki| ]]
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki|!]]