Sleji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 43 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q181388 (translate me)
 
Mstari 33:
 
== Michezo na burudani ==
Mashindano waya kimbiombio kwa sleji ni sehemu ya [[michezo ya Olimpiki]] tangu 1964. Kwenye njia za barafu zenye mteleko mkali sleji zinafikia mkasi wa 150 [[km/h]] au zaidi. Kwa hiyo ni mchezo wa hatari kiasi na ajali zimetokea mara kadhaa ambako watu wamekufa.
 
Katika nchi nyingi penye kipindi cha barafu na theluji watoto huwa na sleji ndogo wanazitumia kuteleza chini kwenye mitelemko ya vilima.
 
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Usafiri]]