Kifaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Sahihisha tahajia ya neno moja.
d Sahihisho moja la tahajia.
Mstari 42:
[[Picha:Ostafrikanisches_Spitzmaulnashorn.JPG|thumb|Faru mweusi ana mdomo uliochongoka.]]
 
Faru weusi wana mdomo uliochongoka. Wanafanana kwa rangi na faru weupe. Hii inachanganya sana, sababu majina yao ni tofauti lakini rangi zao ni sawa kabisa. Spishi hii ina spishi nyingine nne ndani yake. Faru mkubwa mweusi huwa na urefu wa sentimeta 132 – 180 mabegani mwake na urefu wa metamita 2.8 – 3.8 kuanzia kichwani mwake.<ref>{{cite web|url=https://www.bisbeesconservationfund.org/Conservation/SaveTheRhino/RhinoGeneralInfo.aspx |title=Black Rhinoceros? |publisher=Bisbee's Conservation Fund |accessdate=15 October 2015}}</ref> Huwa na uzito wa kilogramu 850 mpaka 1600, na wachache mpaka kg 1800, huku faru jike wakiwa na umbo dogo kiasi kuliko wanaume. Pembe kubwa mbili zimetengenezwa kwa keratini huku ile kubwa ya mbele ikiwa ina urefu wa mpaka sentimeta 50, na mmoja aliwahi hata kufikia sentimeta 140. Wakati fulani hata pembe la tatu hujitokeza. Faru weusi ni wadogo kiasi kuliko faru weupe, na wana mdomo uliochongoka kwa ajili ya kukusanya majani kabla ya kula.
 
== Faru wa India ==