Shirikisho la Mikronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 129 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q702 (translate me)
No edit summary
Mstari 82:
Visiwa vimekaliwa na watu tangu miaka 4,000 hasa kutoka Rasi ya Malay na visiwa vya Indonesia. Wengine wametokea kutoka visiwa vya Polynesia.
 
Kisiwani Yap kulitokea dola na uatawala wa kifalme. Tangu kufika kwa Wa[[hispania]] katika [[karne ya 16]] visiwa vilikuwa chini ya ubwana wa nje lakini maisha ya kawaida yaliendelea bila mabadiliko makubwa kwa muda mrefu. Mwisho wa karne ya 19 Hispania iliuza koloni kwa [[Ujerumani]]; utawala wa Kijerumani ulikwisha katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ukachukuliwa na [[Japani]] hadi mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. JApaniJapani ilifuatwa na Marekani iliyoendelea kutawala kwa niaba ya [[UM]] hadi uhuru.
 
== Lugha na Utamaduni ==
Kuna [[orodha ya lugha za Mikronesia|lugha 18]] ambazo huzungumzwa katika Shirikisho la Mikronesia.
 
== Uchumi ==