Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
:Asante kwa maneno yako mema. Ninafurahi kujua kwamba unaziangalia kidogo kazi zangu, kwa sababu ninaogopa nitafanya makosa pia! Kusema kweli, ninaweza kukagua maandiko kwa makini kwa sababu mimi ni mwanafunzi tu, na nasoma polepole sana. Lazima nisome kila herufi, kwani nikisoma upesi sitakuwa na uhakika kusoma kwa usahihi. <p>Kipala, ukijua kurasa maalumu kwamba ungependa kuhaririwa, tafadhali niambie kuhusu hizo. Nipo radhi kufanya kazi unayopendekeza.
 
== Upangaji wa kurasa za Punda, Punda-Kaya, na Asinus ==
 
Umeona jibu langu katika majadiliano yangu?<br>
Rberetta salaam. Umefahamu vizuri lakini hakuna haja kuomba samahani. Ulifanya vile ulifikiri ni bora. Lakini tunapendelea kurasa zenye vichwa kwa Kiswahili. Endelea kazi yako nzuri. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:42, 27 Oktoba 2014 (UTC)