Content deleted Content added
Jibu
Mstari 1:
{{karibu}}'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:01, 10 Oktoba 2014 (UTC)
 
 
Salamu Rberetta, nimefurahi sana kuona masahihisho yako ya mara kwa mara. Unafanya kazi ya maana sana ninatumaini utakaa nasi na kuendelea! Nikiangalia michango yangu mwenyewe ni kweli mimi si fundi sana kusoma tena yale niliyoandika kwa hiyo makosa ya typo yanabaki mno - pia tuna wachangiaji wengi kidogo wasiozoea kuandika Kiswahili safi. Karibu sana!! '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 19:42, 14 Oktoba 2014 (UTC)
Line 10 ⟶ 8:
Umeona jibu langu katika majadiliano yangu?<br>
Rberetta salaam. Umefahamu vizuri lakini hakuna haja kuomba samahani. Ulifanya vile ulifikiri ni bora. Lakini tunapendelea kurasa zenye vichwa kwa Kiswahili. Endelea kazi yako nzuri. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:42, 27 Oktoba 2014 (UTC)
 
:Ndiyo, niliona jibu lako - asante! Nimeendelea kupitia kurasa za wanyama ulizoanzisha, na sasa ninaelewa vizuri zaidi muundo unaotumia. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 22:08, 27 Oktoba 2014 (UTC)