Réunion : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 105 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q17070 (translate me)
Mstari 80:
Wakazi wanaonyesha historia hii katika mchanganyiko wao wa aina za watu na tamaduni kutoka pande mbalimbali wa dunia.
 
Sehemu kubwa ya wakazi ni watoto wa watumwa au wafanyakazi wasio huru wa zamani wakionyesha tabia za Wahindi, Waafrika na Wachina. Takriban robo ya wakazi ni wa asili ya Ulaya. Kuna lugha tatu tu ambazo huzungumzwa na wakazi wa Réunion, yaani [[Kifaransa]] (lugha rasmi), [[Kitamil]] na [[krioli]] inayotokana na Kifaransa. Pia kuna wahamiaji kutoka visiwa vya jirani ambao huzungumza lugha za Kichina na za [[Komori]], kama vile [[Kimaore]], [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]].
 
Vikundi hivi havikai mbali: kuna mchanganyiko wa kila aina. Wakazi wengi hufuata [[Ukristo]] wa Kikatoliki, wengine [[Uislamu]] na [[Uhindu]]. Kuna pia [[Waprotestanti]].