Kimalagasy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kimalagasy''' ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana,...'
 
d rekebisha kiungo
Mstari 1:
'''Kimalagasy''' ni mlolongo wa [[lugha za Kiaustronesia]] nchini [[Madagaska]] inayozungumzwa na [[Wamalagasy]]. Lugha za Kimalagasy hasa ni [[Kiantankarana]], [[Kimalagasy ya Bara|Kibara]], [[Kibetsimisaraka-Kaskazini]], [[Kibetsimisaraka-Kusini]], [[Kimasikoro]], [[Kisakalava]], [[Kimalagasy Sanifu]], [[Kitandroy-Mahafaly]], [[Kitanosy]], [[Kitesaka]] na [[Kitsimihety]]. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.
 
==Viungo vya nje==