Komori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 71:
== Watu ==
Watu wa Komori ni mchanganyiko wa Waarabu, Wamadagaska, Waafrika wa bara ambao mababu walikuwa watumwa, Wahindi na Wazungu kadhaa. Kutokana na uhaba wa ajira Wakomori wengi wamehamia nje hasa Madagaska. Wakazi wengi ni [[Waislamu]] (98%, hasa [[Wasunni]]), wakifuatwa na [[Wakristo]] (2%). Karibu nusu ya watu wote hawajui kusoma.
 
Nje ya [[Kifaransa]], [[Kiarabu]] na [[Kimalagasy Sanifu]], kuna lugha tatu za asili ambazo huzungumzwa na Wakomori, yaani [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]] ambazo ziko karibu na [[Kiswahili]].
 
== Historia ==