Adamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q70899 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.
 
Kadiri ya [[kitabu]] cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]], alizaliana na [[mke]] wake [[Eva]] watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa [[binadamu]]; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe [[Kaini]], [[Abeli]] na [[SetSeti]].
 
[[Kanisa Katoliki]] linamheshimu kama [[mtakatifu]] kila tarehe [[24 Desemba]].