Nguruwe-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Ongeza kigezo cha oda, fanya kawaida ngazi za chini.
Mstari 18:
| bingwa_wa_nususpishi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
}}
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
 
'''Nguruwe-kaya''' ni kundi la [[mnyama|wanyama]] wanaofugwa kote duniani. Kibiolojia ni [[nususpishi]] ya ''[[Sus scrofa]]''. Jumla ya nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili.
 
Nguruwe hufikia uzito wa [[kilogramu]] 40 - 35040–350. Kichwa kinaishia katika mdomo mrefu unaofanana kidogo na [[mwiro]] wa tembo ingawa ni mfupi.
 
Wataalamu wanaona asili ya nguruwe kwenye mabara ya [[Afrika]], [[Asia]] na [[Ulaya]]. Spishi nyingi ziko Asia.
Line 29 ⟶ 31:
 
Nguruwe ni mnyama mwenye akili sana akilingana na [[mbwa]].
 
{{mbegu-mnyama}}
 
{{Artiodactyla|S.}}
 
[[Jamii:Nguruwe na jamaa]]